Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Loh! Pole binamu , nasikia jana ulinusurika kukatwa mapanga na wauaji wa ma albino, sasa ndo nini kutuficha wambea wenzio kuwa wewe ni albino jmani? Wambea hatubaguani, uwe mwizi mchawi, kipofu, kiwete wote tupo pamoja, pole sana na heka heka, uko mwanza na nyie mmezid khaa
Hahahaaa,yaani nimecheka hadi machozi!
Looh!