Maulid Kitenge kila weekend yupo London

Maulid Kitenge kila weekend yupo London

Loh! Pole binamu , nasikia jana ulinusurika kukatwa mapanga na wauaji wa ma albino, sasa ndo nini kutuficha wambea wenzio kuwa wewe ni albino jmani? Wambea hatubaguani, uwe mwizi mchawi, kipofu, kiwete wote tupo pamoja, pole sana na heka heka, uko mwanza na nyie mmezid khaa

Hahahaaa,yaani nimecheka hadi machozi!
Looh!
 
Loh! Pole binamu , nasikia jana ulinusurika kukatwa mapanga na wauaji wa ma albino, sasa ndo nini kutuficha wambea wenzio kuwa wewe ni albino jmani? Wambea hatubaguani, uwe mwizi mchawi, kipofu, kiwete wote tupo pamoja, pole sana na heka heka, uko mwanza na nyie mmezid khaa

Hhhhhaaaaaaaa nikuambie unigeuze diliii
 
Attachments

  • 1427724683111.jpg
    1427724683111.jpg
    26.2 KB · Views: 335
Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!!

warumi una mpya gani hapa?
Hawa watangazaji hawa ogopa sana wengi wanaosafiri sana Usa na uk hawana marinda na wengine wana mikataba huko ndio wanakojifichia wasionekana mikataba ya kishetani, hata hawa manabii hawa ni wengi ni mafriima....
 
Back
Top Bottom