Maulid Kitenge kila weekend yupo London

Maulid Kitenge kila weekend yupo London

1427643855092.jpg
 
Acha tu jamani Kitenge alikua hendisamu kwelikweli si mchezo.Na kile kidoti tena..looh!
Yaani kachokaje?

acha tu mi sio shabiki sa sports ila kwa ajili ake.nlikua nafatilia ha ha ha maulid alikua mtamu ka.mcharo sijui.nn kimeharibu sura
 
Shogaa mbona kazi sasa shoga ngoja nikunong'oneze mpaka sasa sijaju mheshimiwa ni nani

Mmmmh,shoga huzitakii kucha zangu mema wewe.Hebu rudia kusoma tena vizuri.
 
Mmmmh,shoga huzitakii kucha zangu mema wewe.Hebu rudia kusoma tena vizuri.

Shoga nimeelewa baada ya kusema kucha ila da so sad kama anapumliwa ila nyie nao ni wambea kha vitu nyeti hvi eti tunyamazeni tu
 
mwenzio hata sina taarifa sijaingia IG muda

Bado hazijawekwaa jamani mwanamke kapata yule,sio unakua na babu halaf ananuka uzee kua aku shombo ya nini
Sasa hivi kuna sheria gani jamanii
 
Mmmmh,shoga huzitakii kucha zangu mema wewe.Hebu rudia kusoma tena vizuri.

Si bora wakate kucha zitaota, siku izi wamesema wakitukamata wambea wote wanatukata vidole, apo sasa sijui tutaandikaje umbea, inabidi tuwaombe ma mods waweke voice note, aaaaah aah
 
Bado hazijawekwaa jamani mwanamke kapata yule,sio unakua na babu halaf ananuka uzee kua aku shombo ya nini
Sasa hivi kuna sheria gani jamanii

Hahahahaaa nimecheka mpaka basi wewe ni mkali.
 
Si bora wakate kucha zitaota, siku izi wamesema wakitukamata wambea wote wanatukata vidole, apo sasa sijui tutaandikaje umbea, inabidi tuwaombe ma mods waweke voice note, aaaaah aah

Hahahaaa uwiiii! warumi wewe?
Nimejenga picha sijui itakuaje nikikatwa vidole! Aisee nitaajiri ata mtu anisaidie kuandika tu, no way.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom