Uwiiii uwiiiiie jamani mbavu zangu 😂Kama kusafiri kungekuwa ni utajiri basi Madereva na Makondakta wangekuwa wana Ukwasi wa hatari!
acha kuwa na fikra potofu. kusafiri hakumpi mtu utajiri wa fedha na mali bali unampa mtu utajiri wa maarifa(knowledge).Kama kusafiri kungekuwa ni utajiri basi Madereva na Makondakta wangekuwa wana Ukwasi wa hatari!
[emoji3][emoji3],huku bastola ikiwa nje njeNakumbuka kauli hizi, "Achaa!...Achaa..unakosea sasa, mh. Nape ingia kwenye gari" mwisho wa kukumbuka.
Mkuu Kusafiri sana mataifa mbalimbali ni hobby wala sio utajiri,tajiri kama Warren Buffet huwa hana hobby hiyo pamoja na utajiri wakeMimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi
Na inakuhusu niniMimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi
Hebu tuwekane sawa hapa!Kusafiri ni jambo la kawaida tu.
Si utajiri.
Ni usalama wa TaifaMimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi
Wewe unanitania? Ushawahi kukutana na watalii wa Ukraine Zanzibar?Hebu tuwekane sawa hapa!
Kusafiri ni utajiri. Huwezi kusafiri ukiwa kapuku.
Mimi mshahara wangu tu kwa mwezi laki saba. Hayo mamilioni ya kusafiri angani asubuhi na jioni nayatoa wapi?
Ni matajiri tu ndio wanaomudu safari za aina hiyo!
Kwahiyo utajiri ni dhana ya kufikirika zaidi? (subjective?)Wewe unanitania? Ushawahi kukutana na watalii wa Ukraine Zanzibar?
Watalii wamepigika ova wanakula kwa Mama Ntilie.
Utajiri ni dhana ndefu na pana.
Kuna siku, wakati nafanya kazi mjini kati hapo Dar, nilikuwa namtembelea mteja wangu mmoja jengo la IPS.
Jamaa mmoja Mchaga ana biashara zake nzuri tu.
Sasa nimefika ofisini kwake, kabla ya kukutana naye, nikakuta watu wanapiga stories.
Wanaulizana, wewe ukipata pesa kiasi gani utaridhika ustaafu kazi utulie?
Basi alikuwepo jamaa mmoja tarishi hivi, yeye akasema akipata shilingi milioni 100 ataridhika na kujiona yuko safi na kustaafu (hiyo shilingi milioni 100 ya late nineties)
Jamaa mwingine bosi akawa anashangaa sana, inakuwaje mtu aweze kuridhika na hela ndogo hivyo.
Lakini, kwa mahesabu yao wote inawezekana walikuwa sawa, huyu tarishi gharama za maisha yake Uswahilini sh milioni 100 ingekuwa utajiri, huyu mwingine akifikiria mzunguko wa pesa katika biashara zake, kodi serikalini, kodi ya ofisi, mishahara ya wafanyakzi, etc, anaona sh milioni 100 hela ndogo tu.
Kwa hiyo mara nyingine inategemea na uliposimamia.
Unaweza kumuona mtu tajiri kumbe mwenzako anatembelea madeni akifukuza utajiri.
Umejibu vizuri sana na ukaeleweka, paragraph ya mwisho haikuwa na ulazima.Kusafiri ni jambo la kawaida tu.
Si utajiri.
Kuna wakati nilikuwa nafanya kazi na masela New York, ikifika weekend wanaenda Iceland au Jamaica, just for the weekend, wanaruka majoka, Jumatatu wanarudi kazini na stories za Reykjavik na Montego Bay.
Sema nchi ikiwa masikini sana, kuwa na passport tu ni jambo lisilo la kawaida, achilia mbali kusafiri.
Kitenge ana connections za kimataifa, hivyo hakuna cha ajabu.
Mengine yanaweza kuwa siri zake za kibiashara, kwa habari zaidi mtafute mwenyewe.
Wengine wanaweza kukuambia shilingi haina nguvu ikimataifa na hivyo haipo kwenye utajiri.Kwahiyo utajiri ni dhana ya kufikirika zaidi? (subjective?)
Utajiri unaanzia shilingi ngapi?
Tusipangiane cha kuandika, tukianza hivyo patakuwa hapakaliki hapa.Umejibu vizuri sana na ukaeleweka, paragraph ya mwisho haikuwa na ulazima.
Hapo ukimpa homework ayaweke Kwa kalamu utazimia kabla haujayasomaHapa changamoto kubwa nnayoiona ni mwandiko, mkuu jitahidi kidogo kuwa unaandika vizuri.
Bila keyboard tunaweza kukimbiana😆😆😆Hapo ukimpa homework ayaweke Kwa kalamu utazimia kabla haujayasoma