Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.
Mtafute kidukuLilo anajua story zote
Hii siasaKusafiri hakuhitaji utajiri ni mpangilio tu na priorities zako.
Anaitangaza Tanzania mkuu, kwani hujui yeye ni celeb, akizeeka ndio atakuja kuzikumbuka hizo safari wakati anataka achangiwe....Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.
😆😆Habari za umbea hizo kwanini usimtafute Kitenge mwenyewe akuambie, halafu una kiswahili kibovu sana mpaka kero.
Ni kweli kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake....Hii hobby kama huna pesa utabaki kuiyona kwa Kitenge tu...kuogelea beach kibao zipo tn free lkn kwenda ughaibuni mara kwa mara na pipa c mchezo sheikh.
Wewe unadhani Mungu ni tajiri au siyo tajiri?Tusipangiane cha kuandika, tukianza hivyo patakuwa hapakaliki hapa.
Nani kakupa u editor wa kuamua kipi cha lazima na kipi si cha lazima hapa?
Kwanza thibitisha Mungu yupo.Wewe unadhani Mungu ni tajiri au siyo tajiri?
Kweli mkuu si uongoNakumbuka kauli hizi, "Achaa!...Achaa..unakosea sasa, mh. Nape ingia kwenye gari" mwisho wa kukumbuka.
Usiseme Watanzania, sema Vijana wa Dar es Salaam
Uhusiano mtu anaandika "Uusi ano", hayakuhusu anaandika "ayaku usu", hii anaandika "ihi", hiyo/huyo kwao wao ni "iyo au uyo"....Shubaamit!
Huyu jamaa inasemekana anamkataba mnono na hawa wacheza mikeka maana alishachana mikeka mara 3 ya mechi 13Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.
Majibu anayo Haji Manara...na ndo ukweli wenyewe.Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.