Maulid Kitenge ni tajiri kiasi gani hadi asafiri mataifa mbalimbali kiasi hicho?

Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.

Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.

Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.

Kupanga ni kuchagua. Kuna watu wana Nyumba kumi. Mwingine moja inamtosha na hela nyingine anakula maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…