Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Mkuu usiumize kichwa chako kubishana na wapuuzi wanaopenda kuhurumiwa kishwamba. Watu wamevunjiwa na kuachwa nje na familia zao kupisha "upanuzi" wa barabara sembuse masai hawa wanaoguga kwa kukodishwa ng'ombe na wakenya ili waharibu hifadhi zetu.
Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
 
Fanya utafiti acha upuuzi, unajua Mahakama ya EACJ ilifanya maamuzi gani hadi Serikali ya Tanzania ikacease kufanya hilo unaloamini? Tena chini ya Shujaa that time!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shujaa wako si alikua na pupa. Subiri this time uone. Kumbuka mahakama hyo ina rule kwa sheria zetu wenyewe...ambazo tunaweza leo kusema chochote kuhusu hizo sheria mahakama ikakosa base
 
Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
Mkuu sio 35pc it is even more than 80pc. Kumbuka wamasai wanaishi kimila na mifugo inamilikiwa centrally na wakuu wa koo. Sasa unafahamu Koo kubwa kama ya Purko 90pc ya viongozi wake wako wapi??
Kule kenya masai wanafurushwa serikali inalipa fidia wamasai kupisha ili kupanua mbuga ya Masai Mara nyumbu wengi wavutike kukaa kule...
 
Nimekuelewa kabisa mkuu
 
Sasa ajue kwamba siyo kila sehemu ni ya kugusa! Atajiharibia kwa tamaa ya cheo na vipande vya sarafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maulid si kitu kwenye nchi hii kama kweli mnao uwezo logeni serikali isiwahamishe acheni visingizio.

You have only 1 option, reduce size of herds ili mifugo yenu itoshe kwenye vitongoji vyenu vichache nje kabisa ya hifadhi na si vinginevyo
 
Walizoea...this time wataanza kukanana wao kwa wao. Masai kitu gani
 
Mkuu usiumize kichwa chako kubishana na wapuuzi wanaopenda kuhurumiwa kishwamba. Watu wamevunjiwa na kuachwa nje na familia zao kupisha "upanuzi" wa barabara sembuse masai hawa wanaoguga kwa kukodishwa ng'ombe na wakenya ili waharibu hifadhi zetu.
Halafu hii ya kukodisha ng'ombe nimeisikia kabisa nina jamaa yangu yupo Mto wa Mbu yeye ana ng'ombe kwenye mapori Yani ni kitu cha kweli kabisa.

Masai heri ng'ombe anywe maji ila yeye asinywe maji, mtu anafuga ng'ombe 3000 hauzi maziwa Wala nyama anaharibu mazingira tu.

Angalia maeneo yote ambayo wamasai ndio walikuwa wanaishi Kama Longido, Monduli yaani ni ukame mtupu sasa wamehama wameingia mapori ya Manyara Hadi kilosa na wanaendelea kushuka mpaka chalinze Ila ukiwaambia wanaharibu mazingira wanaleta ubishi wao.

Ng'ombe inafuga ng'ombe mwenzake. Bure kabisa.
 
Masai yeye anaweza kuhamia hata kariakoo kesho lakini pundamilia hawezi hivyo Masai ni lazima ampishe pundamilia yeye abebe shuka aende akalinde
 
Ulishasikia yaliyotokea Simanjiro, ng'ombe karibu 60+ walikufa kutokana na ukame, ulitaka waendelee kukaa sehemu isiyo na malisho? Mbona mnakuwa wabaguzi sana nyie ndani ya nvhi yetu sote .!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba, Watanzania tulio wengi tunahitaji Elimu juu ya Ngorongoro Conservation Area.
Asilimia kubwa hawajui kwa nini Ngorongoro haipo chini ya Mamlaka ya Mbuga za Wanyama.
Wengi wanafikiri Ngorongoro ni sawa na Serengeti au Tarangire au Ruaha National Park.
Maulid Kitenge na Watanzania wengi wanahitaji kuelimishwa juu ya hilo.
Sambamba na Elimu, ni muhimu pia Watanzania tujulishwe juu ya Majengo yanayoendelea kujengwa huko, kama ni sahihi.
Na kama ni sawa, mwisho wake utakuwaje?
Nyumba zinavyozidi kuongezeka ndani ya Ngorongoro, Wanyama hawatakosa malisho na makazi?
Ngorongoro Conservation Area ni National Heritage yetu, kabla ya kuwa World Heritage.
Tuizungumzie kwa mapana na marefu, wote tukiwa na muelekeo mmoja wa kuiimarisha na kuidumisha.
 
Hifadhi ni kweli iko hatarini lakini kuna siasa nyingi pale kwa hivyo ni vyema ikaachwa mpaka ikaishia yenyewe. Familia zilizoambiwa zibaki mwaka 1959 zimezaliana na mifugo imekuwa mingi sana na malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mifugo mingi iliyoko kwenye hifadhi.

Inawezekana Kitenge hakuiwasilisha sawa hiyo mada lakini kwa uhakika tatizo hilo lipo.
 
Ulishasikia yaliyotokea Simanjiro, ng'ombe karibu 60+ walikufa kutokana na ukame, ulitaka waendelee kukaa sehemu isiyo na malisho? Mbona mnakuwa wabaguzi sana nyie ndani ya nvhi yetu sote .!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili wewe....hatuwezi kuacha mbuga inayonufaisha taifa zima iharibiwe ili kulinda ngombe 60 wa Masai.

Afu kwanini hawatumii akili hawa masai???? Mazingira yamebadilika wakiendelea kufuga migombe elfu kwasababu ya mila huku wamevaa shuka watakwama tu.

Hata waliokua na mila za kukeketana walikaliwa kooni wakaachana nazo....na wala sio kwamba mila hiyo inaharibu hifadhi ya Taifa wala Pori Tengefu. Sasa huyu masai ni nani???

Fuga ng'ombe wetu lakini sio mbugani wala hifadhini.
 
Hapa najua Serikali wadau wake wengi wanapita hapa Jamii Forums...
Ushauri..
Serikali ipunguze nusu ya wamasai Ngorongoro.. Pamoja na robotatu ya mifugo..
Ukienda pembeni kama Loliondo au Longido kuna mapori ya kutosha kwa ajili ya mifugo yao..
Cha ziada Serikali ijenge shule na huduma wezeshi huko kabla hawajahamia huko
Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
Mkuu hii ni kweli.. Kenya wanaleta mifugo kwetu.. Tena kuna uchochoro Loliondo...
 
Tatizo watu wanajiropokea tu na kutishia watu wanao jaribu kuwasema hao maasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…