Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Msaada wa kutoa code tafadhali.Mkuu hujui Maulid ni mwajiriwa wa wale jamaa wa malindi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wa kutoa code tafadhali.Mkuu hujui Maulid ni mwajiriwa wa wale jamaa wa malindi ?
Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.Mkuu usiumize kichwa chako kubishana na wapuuzi wanaopenda kuhurumiwa kishwamba. Watu wamevunjiwa na kuachwa nje na familia zao kupisha "upanuzi" wa barabara sembuse masai hawa wanaoguga kwa kukodishwa ng'ombe na wakenya ili waharibu hifadhi zetu.
Shujaa wako si alikua na pupa. Subiri this time uone. Kumbuka mahakama hyo ina rule kwa sheria zetu wenyewe...ambazo tunaweza leo kusema chochote kuhusu hizo sheria mahakama ikakosa baseFanya utafiti acha upuuzi, unajua Mahakama ya EACJ ilifanya maamuzi gani hadi Serikali ya Tanzania ikacease kufanya hilo unaloamini? Tena chini ya Shujaa that time!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatia hasira sanaMkuu asante kwa kuliona hilo Wanaviengio vya kipumbavu vinavyopata pesà kutoka kwa wapumbavu...WABAGUZI sana hawa nawajuwa sana wako Ololosokwani
Mkuu sio 35pc it is even more than 80pc. Kumbuka wamasai wanaishi kimila na mifugo inamilikiwa centrally na wakuu wa koo. Sasa unafahamu Koo kubwa kama ya Purko 90pc ya viongozi wake wako wapi??Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
Nimekuelewa kabisa mkuuMkuu sio 35pc it is even more than 80pc. Kumbuka wamasai wanaishi kimila na mifugo inamilikiwa centrally na wakuu wa koo. Sasa unafahamu Koo kubwa kama ya Purko 90pc ya viongozi wake wako wapi??
Kule kenya masai wanafurushwa serikali inalipa fidia wamasai kupisha ili kupanua mbuga ya Masai Mara nyumbu wengi wavutike kukaa kule...
Maulid si kitu kwenye nchi hii kama kweli mnao uwezo logeni serikali isiwahamishe acheni visingizio.Sasa ajue kwamba siyo kila sehemu ni ya kugusa! Atajiharibia kwa tamaa ya cheo na vipande vya sarafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walizoea...this time wataanza kukanana wao kwa wao. Masai kitu ganiUsiandike kishabiki hali ya Ngorongoro inasikitisha,inakatisha tamaa & ina huzunisha.
Ni kweli Waasai wapo ngorongoro miaka mingi wakishi na wanyama pori na mifugo yao.Wakati huo Mamlaka inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa 8,271 na idadi ya mifugo ilikuwa 30,000.Nyumba za wamaasai zilikuwa aina ya combi
View attachment 2109828
Leo idadi ya Maasai ni 120,000 huku idadi ya mifugo yao ikifikia zaidi ya 1,000,000 na makaazi yao yakiondoka katika uasilia na kwenda kwenye usasa.Leo hii mabati msouth yamejaa Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi mgeni akitembelea Ngorongoro anakutana na Kondoo,Mbuzi na Ng'ombe kwa wingi kuliko Simba au Nyati.
Lazima Tanzania ichukue hatua kali na madhubuti kuokoa Ngorongoro.Kumezuka NGOs nyingi tena nyingine zikiasisiwa Kenya zipo pale kwaali ya kutetea ujinga na kuona Ngorongoro inakufa.Hii vita asili yake kubwa ni Kenya ambayo inaumizwa sana na uwepo wa Ngorongoro,Serengeti na Kilimanjaro.Kenya kupitia idara yake ya ujasusi inafahamu wazi ushindani wa utalii ni vivutio na wakiangalia hizo Mbuga tatu wanaona bora waiumize walau moja ambayo ni Ngorongoro.
Hizi NGOs nyingi zinawadanganya wamaasai Ngorongoro ni mali yao,serekali haina chao sasa huu ujinga ungemalizwa na vingozi wenye maamuzi mazito ikiwemo kuirejesha Ngorongoro TANAPA na kuifanya HIFADHI kama zilivyo Manyara,Serengeti,Kilimajaro au Mikumi.Wamaasai wahamishwe wote Tanzania bado ina mapori mengi.
Halafu hii ya kukodisha ng'ombe nimeisikia kabisa nina jamaa yangu yupo Mto wa Mbu yeye ana ng'ombe kwenye mapori Yani ni kitu cha kweli kabisa.Mkuu usiumize kichwa chako kubishana na wapuuzi wanaopenda kuhurumiwa kishwamba. Watu wamevunjiwa na kuachwa nje na familia zao kupisha "upanuzi" wa barabara sembuse masai hawa wanaoguga kwa kukodishwa ng'ombe na wakenya ili waharibu hifadhi zetu.
Masai yeye anaweza kuhamia hata kariakoo kesho lakini pundamilia hawezi hivyo Masai ni lazima ampishe pundamilia yeye abebe shuka aende akalindeUnafahamu sababu za Ngorongoro kuwa mamlaka kamili ya hifadhi inayojitegemea?....Kwani hao wamasai hawakuwa kuhamishwa miaka ya nyuma?..
...hili suala linachanganya sababu kumeibuka wimbi la wasemaji wengi na ngumu kujua ukweli upo wapi...
anyway suala la Ngorongoro kulindwa ni lazima....ila isilindwe kwa gharama ya watu kuteseka,kuumizwa na kufanywa wakimbizi wa ndani....lazima utaratibu uwekwe na ufatwe.
Leta hayo Maamuzi ya Mahakama ya EACFanya utafiti acha upuuzi, unajua Mahakama ya EACJ ilifanya maamuzi gani hadi Serikali ya Tanzania ikacease kufanya hilo unaloamini? Tena chini ya Shujaa that time!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja acha kuruka kuruka
Ulishasikia yaliyotokea Simanjiro, ng'ombe karibu 60+ walikufa kutokana na ukame, ulitaka waendelee kukaa sehemu isiyo na malisho? Mbona mnakuwa wabaguzi sana nyie ndani ya nvhi yetu sote .!Mkuu sio 35pc it is even more than 80pc. Kumbuka wamasai wanaishi kimila na mifugo inamilikiwa centrally na wakuu wa koo. Sasa unafahamu Koo kubwa kama ya Purko 90pc ya viongozi wake wako wapi??
Kule kenya masai wanafurushwa serikali inalipa fidia wamasai kupisha ili kupanua mbuga ya Masai Mara nyumbu wengi wavutike kukaa kule...
Ukweli ni kwamba, Watanzania tulio wengi tunahitaji Elimu juu ya Ngorongoro Conservation Area.Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..
Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)
Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.
Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.
Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Hifadhi ni kweli iko hatarini lakini kuna siasa nyingi pale kwa hivyo ni vyema ikaachwa mpaka ikaishia yenyewe. Familia zilizoambiwa zibaki mwaka 1959 zimezaliana na mifugo imekuwa mingi sana na malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mifugo mingi iliyoko kwenye hifadhi.Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana?
Tumia akili wewe....hatuwezi kuacha mbuga inayonufaisha taifa zima iharibiwe ili kulinda ngombe 60 wa Masai.Ulishasikia yaliyotokea Simanjiro, ng'ombe karibu 60+ walikufa kutokana na ukame, ulitaka waendelee kukaa sehemu isiyo na malisho? Mbona mnakuwa wabaguzi sana nyie ndani ya nvhi yetu sote .!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni kweli.. Kenya wanaleta mifugo kwetu.. Tena kuna uchochoro Loliondo...Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
Mmandegi umewaponza wenzako wanaokula Fedha kupitia mgongo wa Umasai bora ungee kaa kimyaa
Tatizo watu wanajiropokea tu na kutishia watu wanao jaribu kuwasema hao maasaiHapa najua Serikali wadau wake wengi wanapita hapa Jamii Forums...
Ushauri..
Serikali ipunguze nusu ya wamasai Ngorongoro.. Pamoja na robotatu ya mifugo..
Ukienda pembeni kama Loliondo au Longido kuna mapori ya kutosha kwa ajili ya mifugo yao..
Cha ziada Serikali ijenge shule na huduma wezeshi huko kabla hawajahamia huko
Mkuu hii ni kweli.. Kenya wanaleta mifugo kwetu.. Tena kuna uchochoro Loliondo...