Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Acha kumtisha kitenge wewe.. hujui maulidi anatetea maslah mapana ya nchi???
 
Umeelewa nilichoandika? Kwani walivyoondolewa waliobaki wahawazaliani?
 
Kwenye hili Ngogo nipo pamoja na wewe kuhama lazima wahame wasijione SPESHO zaidi ya WaTanzania wengine....
 
Acheni ujinga nyie maasai hameni hifadhini huko mmeshakuwa wengi kuliko uwezo, ningekuwa na amri ningewatwanga mabomu mufe tu
 


NCAA wamejitahidi hadi wamekuja na michoro ya nyumba za kisasa lakini zinazoendana na mazingira ya hifadhi wamaasai hawataki wanataka kujaza minyumba ya mabati ndani ya hifadhi.

Njia za wanyama wamasai wanajenga maboma yao,wakiambia waache wanakimbilia NGOs za kijinga huu nu upuuzi lazima hizi NGOs zifutwe mara maja.
 
Naona kitenge kimepata madoa yasiyotoka ila kwa namna moja au nyingine binadamu na wanyama posri wamekuwa waki coexist wote hasa Ngorongoro lakini hatuwezi fananisha population ya watu na mifugo yao Ngorongoro miaka 10 au 20 iliyopita, hapana kwa sasa population imeongezeka maradufu na hii inaleta hadhari kwenye ecosystem ya Ngorongoro na solution hapa ni either idadi ya watu ipunguzwe kama ilivyokuwa ikifanyika ili kubalance ecosystem ya eneo maana kuna kuwa na ushindani wa chakula katinya wanyama na mifugo pia watu wanapo ongeza makazi nayo inaleta usumbufu kwenye ecologia ya eneona hapo ndipo wanyama wanakuwa disturbed kwa mambo haya maana hawapendi bugudha japo in time population itaongezeka tena kwaajili ya kuzaliana. Kingine ili kuzui ongezeko la watu na mifugo basi hapo ni watu wote wanaoishi humo hidadhini Ngorongoro kuamishwa kabisa nakupatiwa maeneo mapya makubwa yenye pori ili kuweza kulea mifugo bila usumbufu na hili litaiyondolea Ngorongoro sifa kwasababu sifa yake kubwa ni coexistence ya wanyamapori na binadamu katika eneo moja.


Mm nadhani kwakweli niku hakikisha watu wasiongezeke na njia pekee nikuondoa watu wote wabaki hata elfu 10,000. Na ndo maana kwa population ndogo ya watu miaka 10,20 iliyopita hata wakazi walikuwa wanahifadhi mazingira Ila kwa idadi ya watu 100,000 Ngorongoro yenyewe haiwezi support ni kubwa sana so ni lazma waounguzwe hata hao wanyama Wana haki ya kuishi bila usumbufu na hawana pengine pa kwenda licha ya kupotea kabsa Ila watu wanaweza hamishwa na bado life likaendelea.

Mwisho, Kitenge kazingua kwakuropoka bila kutumia facts na kutoa Elimu yani yeye na mwenzake walikuwa wnazungumza kwa mihemko bila reasoning eti pale badala yakusema tembo anaondoka anasema tembo anakimbia, badala yakusema nyumba za makazi zinaongezeka tofauti na utaratibu pia mifugo imeongezeka na kutapakaa kwenye eneo la malisho ya wanyamapori anaongea utumbo mtupu.
 
Uzuri wake mtaongea Ila mtahama tu msijifamye na nyie ni pundamilia.
Nakuambia East or West, Home is the BEST.
Let no maasai go East or West , without returning home..conservation should not be tunnel to heat and burn the life of our people and their ancestors.

Stop manipulated with this corrupt gvt..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo maslahi mapana yataifa wewe unayajua au nimmoja wao yawale wanaotafua cake yataifa ni sema hii nchi sio mal yenu pekeenu, kuna watu hata nyama yaswala tu kula hatuijui ila nyie mliojipa mamlaka mnatoa order tu leo nataka nyama yatwiga mnaletewa nanyie ndo mnamaliza wanyama sio wamasai
 
hahahaha nakumbuka alivyozuia vijana kufanya kazi yao kwenye issue ya Nape mpaka ndugu yetu Harmorapa akakimbia... at the end hakuguswa na maisha yakaendelea...
Huenda jamaa akawa ni "Afisa Kipenyo"
 
Wamasai hao waondoke, na ni Lazima...
Linapokuja suala la Maslahi ya Taifa ,Ardhi Mmiliki wake Mkuu ni Rais kupitia Kamishna wa Ardhi Kama Kuna wanaopaswa kulipwa Fidia na iwe hivyo.

Tatizo suala hili ndani yake Kuna wanasiasa wananufaika nalo
 
Ukerewe kunavisiwa vingi sio kimoja kama unavyodhani.
 
Wakati Lissu anatandikwa masase hizo NGOs zao kama utitiri za kutete HAKI walikaa kimyaa sasa WAJIBEBE
 
Sijafika Ngorongoro Ila kama wamejenga majumba ya bati za msauzi, waondolewe, zitakuja kesi za mirathi muda siyo mrefu, serikali iliwahamisha wafugaji blonde la Usangu, Kilombero, hata Ngorongoro operation inawezekana!

Wafuge Kisasa!
Wapewe mapori yapo mengi tu
 
We ni mjinga fulani ambaye hata ni kikuuliza hili jina la Ngorongoro maana yake nini utabaki unavuja jasho tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…