Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Hapa najua Serikali wadau wake wengi wanapita hapa Jamii Forums...
Ushauri..
Serikali ipunguze nusu ya wamasai Ngorongoro.. Pamoja na robotatu ya mifugo..
Ukienda pembeni kama Loliondo au Longido kuna mapori ya kutosha kwa ajili ya mifugo yao..
Cha ziada Serikali ijenge shule na huduma wezeshi huko kabla hawajahamia huko
Mkuu hii ni kweli.. Kenya wanaleta mifugo kwetu.. Tena kuna uchochoro Loliondo...
Huyo Mpumbavu anatumiwa na Wafugaji wa Kenya kuharibu TZ ..na viegioo vyao vya Kipumbavu Ololosokwani...wamemsubuwa sana Thomson Safari huko pinyinyi...
 
Hawata fanikiwa na vitisho vyao vya kijinga.

Team ipo karatu kuelekea Ngorongoro
 
Huo ndiyo ukweli na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa 35% ya ng'ombe wa maasai ni wa kutoka Kenya kufuata malisho hapa nchini kwetu.
Mmawia Shikaamoo mingi sana Ujasusi mahala popote muda wowote
 
Tumia akili wewe....hatuwezi kuacha mbuga inayonufaisha taifa zima iharibiwe ili kulinda ngombe 60 wa Masai.

Afu kwanini hawatumii akili hawa masai???? Mazingira yamebadilika wakiendelea kufuga migombe elfu kwasababu ya mila huku wamevaa shuka watakwama tu.

Hata waliokua na mila za kukeketana walikaliwa kooni wakaachana nazo....na wala sio kwamba mila hiyo inaharibu hifadhi ya Taifa wala Pori Tengefu. Sasa huyu masai ni nani???

Fuga ng'ombe wetu lakini sio mbugani wala hifadhini.
Great Mkuu ...kuna Mmasai wa Kenya Longido aliiuza AWF kwa waKenya...kunawakati VETI inamatatizo sana.....
 
Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.

FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).

Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..

Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)

Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.

Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.

Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila ku

Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.

FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).

Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..

Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)

Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.

Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.

Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya

Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Watu na mifugo inaongezeka eneo ni lile lile
Tanzania ina maeneo makubwa wahamishwe tu..... kuna wilaya kama Handeni, Kilindi na Bagamoyo wahame tu
 
Tupo hapa stand ya kwenda Mang'ora tunapata mahitaji kidogo ndiyo turbo ifunguke kuelekea Ngorongoro mkuu.
Kamanda Big salute Msalimieni MANONGI Mhifadhi mwalimu wakileta chokochoko Sudan kusini sio mbali
 
Hawawezi kukubali.. Masai wa Kenya wanalalia upande wetu...
Hasa Namanga upande wa Tanzania.. kisha Longido... na baadae mpaka wanachanganyika na mifugo yetu mpaka hifadhini...
Ndiyo hivyo chanzo kikuu ni kutoka Kajiado
 
Daah.. Kuna issue nikipata muda nitaifungulia topic kuhusu Kitengela.. Kajiado na Jomo Kenyatta Airport..
Yaani sisi tunapoteza mapato makubwa Sana..
Mifugo yetu hapa Tz inatoroshwa..ila wengine ni mifugo ya Kenya ila wapo Tz kwa ajili ya malisho.. Wakishanenepa.. Haoooo JKIA... Wanasafirishwa kwenda Dubai..
KIA Serikali sijui kama imeweka cold storage facility..
Yaani KIA inatakiwa ndege za UAE zitue kuchukua nyama kwetu.. Kule Dubai wanakula mbuzi.. Kondoo. .ila inaonekana ni kutoka Kenya
 
Wakenya ni watu wa akili mingi sana kwenye mambo ya kiuchumi.
 
Hawawezi kukubali.. Masai wa Kenya wanalalia upande wetu...
Hasa Namanga upande wa Tanzania.. kisha Longido... na baadae mpaka wanachanganyika na mifugo yetu mpaka hifadhini...
Mkuu ile VETI ya Longido Mama walimungiza Mkenge ....hafai kabisa tena huko kwenye Land
 
Daah.. Kuna issue nikipata muda nitaifungulia topic kuhusu Kitengela.. Kajiado na Jomo Kenyatta Airport..
Yaani sisi tunapoteza mapato makubwa Sana..
Mifugo yetu hapa Tz inatoroshwa..ila wengine ni mifugo ya Kenya ila wapo Tz kwa ajili ya malisho.. Wakishanenepa.. Haoooo JKIA... Wanasafirishwa kwenda Dubai..
KIA Serikali sijui kama imeweka cold storage facility..
Yaani KIA inatakiwa ndege za UAE zitue kuchukua nyama kwetu.. Kule Dubai wanakula mbuzi.. Kondoo. .ila inaonekana ni kutoka Kenya
Huyu aliye funguwa huu uzi huko alipo Anajuta...J4 Haikopeshi....Mkuu funguwa UTUJUZE
 
Back
Top Bottom