GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
wewe huwa una chuki binafsi..
upuuzi mtupu
mkuu hata kama umeandika unafiki kwa jinsi ulivyopangilia kazi yako unastahili pongezi, nimejaribu kuirudia kwa burudani kabisa ia naona yete yanaweza kufupishwa kuwa sentesi labda tatu
" labda nikuambie tu Wewe una KIPAJI kitu ambacho wenzako wengi hawana na hao wenzio wengi wana ELIMU tu hivyo kwa hicho kipaji ulichonacho ukienda kupata elimu bora ya utangazaji nakuhakikishia " utawaburuza " hawa Watangazaji wenzio hadi waombe " po " kwako."
au nusu sentensi kwa kusema +++ kitenge wewe ni qilaza+++
mkuu usiwe mkali shida nini! kitenge anakuburuza kwenye fani, msubiri chini faza yule pumzi itakata.Haya maoni yako ungeyaanzishia UZI ningekuona GREAT THINKER ila sasa NIMEKUDHARAU KUNAKOTUKUKA.
Mkuu acheni kuandama watu Watanzania tuna mambo ya msingi ya kufuatilia lakini muda huo wa kusema watu na kuanzisha thread mnautoa wapi? Au ww ni mtangazaji mwenzie kwenye Redio ya Jirani pale
Acheni hizo habari
Siku hizi nitajitahidi kuwa makini na thread zako manake nimegundua zingine unazileta ama kuwapa watu promo au kuchimbachimba kwa mambo yako binafsi! Si ni wewe ambae uliwahi kuleta thread kuulizia kuhusu Tunu Hassan?! Au ulitaka watu wafunguke kwa mapana na marefu; kwamba anamegwa na fulani ili halafu ukaanzishe mtiti endapo huyo fulani sio wewe?!
Ungeweka basi na ushahidi hata wa voice clip ya hayo makosa yake
Hicho kiredio hakifiki huku kwetu, wanasikiliza wanaume wa dar tu
Mnatusakama tunaoishi Dar, lakini cha ajabu ni kwamba mkifika tu huku mnaanza kuwatafuta akina Kitenge mpige nao picha, au majengo wanayofanyia kazi msimame mpige pichaKama mnaoishi huko Dar es Salaam ni aibu kuleta hoja kama hii hapa jukwaani.
Hii thread ni ya kupuzwaa ipo kwa ajili ya kupotosha jamii
Ungemsaidia zaidi kama hii kitu ungemtupia kwa 'PM'Nasikitika sana kuwa mpaka sasa hivi hakuna Chombo " maalum " cha kuwasimamia na kuchunguza maadili ya hawa Watangazaji wetu wa redio na luninga hapa nchini Tanzania kwani ama hakika kwa tunachokishuhudia sasa ni " ujinga " kama siyo " upumbavu " hasa katika utangazaji.
Sijui ni SIFA zimeshamlevya au ni UTOTO unamsumbua au ni USHAMBA umemzidi au ni MASHAUZI yaliyopitiliza kwani kusema ukweli ukimsikiliza Maulid Kitenge wa sasa aliyepo E fm unaweza usiamini kuwa ni yule yule Maulid Kitenge ambaye alikuwepo Radio One / ITV miaka ya nyuma.
Maulid Kitenge kwanza tambua kuwa audince wako ni very segmented hivyo basi unatakiwa nawe kuwa neutral hasa katika aina yako ya Utangazaji ili uweze kuwabeba wote lakini nisikufiche " Kijana " kwa jinsi unavyotangaza sasa ninaamini kuna kundi fulani la Watu ambalo kweli ni Wapenzi wa Michezo lakini unawaondoa.
Mapungufu yako makuu ni haya:
Naomba nikushauri tu kuwa unaweza kwa sasa labda ukaona umeshamaliza kila kitu ila kwa kukusaidia tu naomba kama hutojali hebu rudi tena Shule ukapikwe zaidi kwani nina uhakika wa kiushahidi kabisa huna ELIMU stahili ya Journalism and Broadscasting zaidi tu ya " ujanja ujanja " wa hapa na pale na kule kunolewa kwano na Mentors wako akina Abdallah Majura na Charles Hillary na kama umesoma sana basi una Basic Certificate tu ya hiyo FANI na UZOEFU ndiyo unakubeba ila kielimu najua hata huyo Bibie Tunu Hassan Shemkome amekuzidi kwani yeye sasa ana ADVANCE DIPLOMA YA JOURNALISM ya Dar es Salaam School of Journalism ( DSJ ).
- Umezidisha mzaha uwapo hewani.
- Unaleta uhuni huni wa mtaani redioni.
- Unaanzisha mizozo ya kipuuzi isiyo na tija hasa kiueledi.
- Kuna muda sauti yako au kauli zako uzitoazo tena hewani ni kama za wale ambao RC Makonda anawatafuta kwa " udi na uvumba " kuwakamata hapa mjini.
- Huyo Mtangazaji wa Kike Tunu Hassana Shemkome ambaye namfahamu kimaadili tokea akiwa Radio Uhuru tokea atue hapo umemfanya nae akuige Wewe kwa hayo madhaifu yako na sasa huyu Binti nae amekuwa " mswahili " hadi kila Mtu ameshikwa na " butwaa ".
- Uko very biased hasa katika Habari zako ambazo zina upendeleo ulio wazi kitu ambacho professionally ni hatari sana.
- Una UNAFIKI wa KITAALUMA.
Tambua kuwa nia yangu siyo KUKUCHAFUA au KUKUUMBUA bali ni jambo baya sana kama Mtu ambaye ni MWELEDI wa FANI husika na UMETUKUKA nayo halafu unaona UDHAIFU fulani unafanywa kila kukicha na Mtu ambaye unamuheshimu na unamkubali halafu unanyamaza na humkosoi ili kumjenga zaidi.
Napenda mno bidii yako KIUTANGAZAJI ila tumia huu UZI wangu kama sehemu yako ya KUJISAHIHISHA ila nikiri kwako na nisiwe MNAFIKI au mchoyo wa SHUKRANI au hizi SIFA kwako kuwa hadi hivi sasa hapa Tanzania bado sijaona MTANGAZAJI WA MICHEZO anayekushinda au hata tu kukufikia na labda nikuambie tu Wewe una KIPAJI kitu ambacho wenzako wengi hawana na hao wenzio wengi wana ELIMU tu hivyo kwa hicho kipaji ulichonacho ukienda kupata elimu bora ya utangazaji nakuhakikishia " utawaburuza " hawa Watangazaji wenzio hadi waombe " po " kwako.
Natumai utayapokea haya na hutaninunia au kuiona ID hii ni " chungu " kwako. Akhsante.
mkuu usiwe mkali shida nini! kitenge anakuburuza kwenye fani, msubiri chini faza yule pumzi itakata.
wakati unamsubiri nenda tot ukaimbe taarab tar 23.
Ungemsaidia zaidi kama hii kitu ungemtupia kwa 'PM'
Kama wanaopiga picha serengeti au mikumi wakiwa na wanyamapori, si ndio eh!Mnatusakama tunaoishi Dar, lakini cha ajabu ni kwamba mkifika tu huku mnaanza kuwatafuta akina Kitenge mpige nao picha, au majengo wanayofanyia kazi msimame mpige picha
Duu nilijisahau kwasababu mimi nina ID Yake nikahisi nawewe unayo, ebana ngoja tuishie hapahapa maadamu umemwaga choo hadharani nayeye amesoma tayaliNitajie ID yake humu JF nimtumie sasa hivi tafadhali.
Duu nilijisahau kwasababu mimi nina ID Yake nikahisi nawewe unayo, ebana ngoja tuishie hapahapa maadamu umemwaga choo hadharani nayeye amesoma tayali
mkuu hata unavyoandika unaonekana umepita uwezo wetu wakawaida wa kufikiri natumaini utafika unapolenga, siku mojaNiliyoyafanyia nchi hii hadi sasa hasa katika nafasi nilizopitia na majukumu niliyoyafanya ni makubwa ambapo sidhani hata kama huyo Kitenge ameyafikia au atathubutu kuyafikia. Halafu sidhani pia kama hata CV yangu tu inatosha kunifanya Mimi nipeane nae mikono na ndiyo maana umeona nimeamua tu kumfunda huku ili WASHIRIKA wake kama Wewe mumfikishie hii taarifa.
Laiti ungeniambia kuwa nawaonea WIVU Watu kama hawa wafuatao kweli ningekukubalia wazi wazi:
Hao nadhani ndiyo kila siku nawaone WIVU nijitahidi ili niweze kuwafikia kwani napenda mno UWEZO WAO MKUBWA wa KUFIKIRI ambao nakiri bado sijawafikia ila kuniambia namuonea " gere " Maulid Kitenge nadhani utakuwa unanikosea kwa kiwango kikubwa mno.
- Dr. Ayub Rioba
- Dr. Hamza Mponda
- Professor Fr. White
- Dr. Bishop Bernadin Mfumbusa
- Dr. Fr. Charles Kitima
Sijasema mimi ni FOLLOWER wako!! Watu si huwa mnaanzisha threads hapa jamvini? Na mkianzisha lengo lenu si ni kwamba wengine tusome? Sasa sisi wengine tukisoma huwa hatusahau mada wala jina la mleta mada hata kama muda umepita!Nashukuru kujua kuwa kumbe na Wewe ni mmoja wa " FOLLOWERS " wangu waliotukuka humu JF safi sana Mkuu na endelea kunifuatilia kwani hapa ndiyo kwenye KISIMA cha kila kitu unachokitaka.
Nakumbuka ilipoanzishwa Radio One wakti ule na Maulid Kitenge alianza kunipa wasiwasi kwenye kipindi cha michezo alipokishika.
Nafikiri kulikuwa na "kushikwa mguu" sana kwa huyu jamaa mbona wenzake alioanza nao wapo mbali sana?