Maulidi Kitenge kesi RC aliyelawiti achana nayo kama umelipwa umeshupalia sana

Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa...
Mmejazana humu kumtetea kwanini asisingiziwe RC mwingine ?kubaka kabaka period
 
Suala sio mihemko ukiona hadi katumbuliwa usifikiri ni jambo dogo na ndio mana polisi wamepata nguvu ya kuachia hadharani hizo document kujustify utenguzi
 
Ulitaka
 
Mimi tangu jana ilivyoanza kuvuma ukifuatilia maelezo ya binti utagundua alikuwa demu wake sema maadui wakapanda dau ili demu amuangamize jamaa , haiwezekani uliwe january eti ujifikirie na ukae kimya uitwe tena june uliwe tena ndio ukareport ,hapo maadui wa rc walipanda dau .
Demu kama alipitishwa kiti butu sehemu ya haja kubwa inawezekana ulikuwa mchezo wake kaliwa na watu wengi siyo lazima rc tu
Hapo rc ni muhanga wa siasa chafu pole yake ndio maana kwenye dini tumeambiwa tusiikaribie zinaa
 
Maslahi yapo mengi sana kwenye hii dunia siyo lazima hiko cheo cha rc, unaweza kuta kuna jimbo walikuwa wanagombea au kuna maslahi ya fedha walikuwa wanagombea sehemu nakadhalika hayo mambo ni kawaida kwenye ulimwengu wetu
 
Documents za kijeshi za marekani na ujerumani huwa zinavuja itakuwa hizo documents za polisi wa hapa bongo!
Elewa tofauti iliyopo kati ya Nyaraka za Siri kuvuja (divulge) na Nyaraka hizo kuwekwa hadharani makusudi.

Documents za Siri kuhusu sakata hili hazijavuja wala kuvujishwa, bali zimewekwa hadharani makusudi ili Watu wote waweze kuziona kwa Nia ya kudhalilisha utu wa mtu badala ya documents hizo kupelekwa Mahakamani ili zitumike kama ushahidi wa Kesi ya jinai.
 
mbona wamesema hadi picha za CCTV camera zilipokelewa huko Polisi-ccm na ushaidi wa daktari pia ulionyesha binti alikulwa makalioni?
Kama ushahidi umepokelewa huko Polisi, Je, kwa Nini ushahidi huo haukupelekwa Mahakamani kwa ajili ya kufungua Kesi ya jinai badala yake umewekwa humu mtandaoni ili watu wote waone? Huu ndio utaratibu wa utendaji kazi kwa Jeshi la Polisi???
 

Wewe acha kulisha watu mataputapu
 
Huyo mtuhumiwa alikuwa na nafasi kubwa ya kujitetea lakini kaishia kusema oooh wanautaka uRC
 
Kama ushahidi umepokelewa huko Polisi, Je, kwa Nini ushahidi huo haukupelekwa Mahakamani kwa ajili ya kufungua Kesi ya jinai badala yake umewekwa humu mtandaoni ili watu wote waone? Huu ndio utaratibu wa utendaji kazi kwa Jeshi la Polisi???
Unakumbuka yule kamanda wa police mkoa wa Dodoma kama ndo unakumbuka basi huo ndo utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…