Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Jeraha ndio la huko...Unamaanisha jeraha la huko kunduchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeraha ndio la huko...Unamaanisha jeraha la huko kunduchi
Ya mdada umeshaiona...natamani nimuoneJeraha ndio la huko...
Sawa atawekwa mgalatia mwenzenuKesha tenguliwa huyo...... 😀 😀
First thing first. Ukicheza na matope tegemea kuchafuka. RC ni mtu anayetakiwa kuwa mfano kwa jamii. Hawezi kubaka halafu akasalimika.Wapi nimechemka??
Kwamba Jeshi la Polisi kazi yake ni kuanika Nyaraka za Siri tena zenye mhuri wa Siri humu mtandaoni??
Mbona maelezo na ushahidi viko wazi na nani atumie gharama kumng'o uRC wakati hajui mamlaka ya uteuzi itamteua nani?Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu...
Huyu Binti alibakwa au alipenda kuliwa tigo?First thing first. Ukicheza na matope tegemea kuchafuka. RC ni mtu anayetakiwa kuwa mfano kwa jamii. Hawezi kubaka halafu akasalimika.
Mmejazana humu kumtetea kwanini asisingiziwe RC mwingine ?kubaka kabaka periodLakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa...
Suala sio mihemko ukiona hadi katumbuliwa usifikiri ni jambo dogo na ndio mana polisi wamepata nguvu ya kuachia hadharani hizo document kujustify utenguziNo kwa nini afute. Jamaa ingawa mimi simkubalii ila kuna sehemu ana hoja hasa ni ishu ngapi sensitive lakini huwezi pata document zake za kipolisi tena verified official secret document in publix siku ya kwanza tu. Ila hiyo aimaanishi hakutenda. Narudia tuweke akili zetu open ili kuchambua na kudadavua hoja na si mihemuko
UlitakaLakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap..
Mimi tangu jana ilivyoanza kuvuma ukifuatilia maelezo ya binti utagundua alikuwa demu wake sema maadui wakapanda dau ili demu amuangamize jamaa , haiwezekani uliwe january eti ujifikirie na ukae kimya uitwe tena june uliwe tena ndio ukareport ,hapo maadui wa rc walipanda dau .Lakini suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap.
Jaribu tu kufanya simple intelligence analysis kwamba ilikuwaje Nyaraka za Siri ( Classified Documents) ambazo Zina sensitive information za kutoka kwenye mamlaka ya Upelelezi Kama Jeshi la Polisi zivujishwe kirahisi namna hii humu mtandaoni??
Hii inawezekanaje?? Kitendo cha Kuvujisha Nyaraka za Siri za namna hii kwa mujibu wa Sheria za usalama wa Taifa katikà nchi yoyote ile hapa duniani inahesabika kama kosa la Uhaini, na katika nchi nyingi sana adhabu yake kwa kosa Kama hilo ni Kali Sana ikiwemo na kunyongwa Hadi kufa. Katika taasisi za kijeshi Kama Jeshi la Polisi watuhumiwa huwa wanapelekwa kwenye Mahakama za kijeshi (Court Marshall) na Kesi zao huendeshwa haraka sana na hatimaye wahusika wamekuwa wakinyongwa haraka kabisa. Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Kwa nini?
Maslahi yapo mengi sana kwenye hii dunia siyo lazima hiko cheo cha rc, unaweza kuta kuna jimbo walikuwa wanagombea au kuna maslahi ya fedha walikuwa wanagombea sehemu nakadhalika hayo mambo ni kawaida kwenye ulimwengu wetuNimejiuliza sana hiki cheo cha RC kina nini hadi wamuwekee zengwe atoke? Na anaetaka atoke ana uhakika gani kuwa ni yeye atateuliwa? Au nini so special mpaka huyu Mh asingiziwe? Kwanza ndio namsikia leo sikuwahi kumsikia kabla.
Ingekuwa wale wanaosemekana wanataka kugombea urais labda tungesema mtego ili wapotee sasa huyu RC whats so special?
Elewa tofauti iliyopo kati ya Nyaraka za Siri kuvuja (divulge) na Nyaraka hizo kuwekwa hadharani makusudi.Documents za kijeshi za marekani na ujerumani huwa zinavuja itakuwa hizo documents za polisi wa hapa bongo!
Aende mahakamani akawashitaki waliomtengenezea kashifa.
Je, aende kumshtaki nani hasa huko Mahakamani? Jeshi la Polisi au huyo msichana?Ni sahihi na ndio njia nzuri ya kujisafisha na kupata haki yake.
Nini??Ulitaka
Kama ushahidi umepokelewa huko Polisi, Je, kwa Nini ushahidi huo haukupelekwa Mahakamani kwa ajili ya kufungua Kesi ya jinai badala yake umewekwa humu mtandaoni ili watu wote waone? Huu ndio utaratibu wa utendaji kazi kwa Jeshi la Polisi???mbona wamesema hadi picha za CCTV camera zilipokelewa huko Polisi-ccm na ushaidi wa daktari pia ulionyesha binti alikulwa makalioni?
Katika taasisi za kijeshi Kama Jeshi la Polisi watuhumiwa huwa wanapelekwa kwenye Mahakama za kijeshi (Court Marshall) na Kesi zao huendeshwa haraka sana na hatimaye wahusika wamekuwa wakinyongwa haraka kabisa. Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Kwa nini?
Huyo mtuhumiwa alikuwa na nafasi kubwa ya kujitetea lakini kaishia kusema oooh wanautaka uRCMaulid ni sawa na saa mbovu. Tumuache.
Mkuu, umenena vyema, bahati mbaya ni kuwa watanzania wachache wanao muda wa kufanya tafakuri tunduizi. Naomba ijulikane mapema kuwa siko upande wowowte katika suala hili.
Umeongea vyema kuhusu nyaraka za siri. Leo kuna story za Julian Assange na Snowden, lakinj sijui kama tumesahau au tumejifanya hivyo kwa maslahi?
Gazeti la mwananchi, bila kupindisha maneno limetumika ndivyo sivyo kuhusu suala hili. Uongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo, umetumika kuwaaminisha watu kile wanachotaka.
Katika habari yao weledi umewekwa kando. Hatuoni mahali ambapo mtuhumiwa amepewa nafasi ya kujitetea. Habari yote imejaa maelezo yanayolenga kumfanya, mtujumiwa ni mkosaji lakini hakupatikana hata mmoja wa kueleza vinginevyo.
Gazeti hilo linadai, tayari Sampuli za DNA za mwanamke huyo zimechukuliwa zikisubiri za mtuhumiwa. Hawa tayari wana uhakika na madai yanayotolewa.
Kuweka rangj katika mfupa ulioundwa wanapatikana watu walioshuhudia tukio hilo mwanzo mwisho. Lakini mashuhuda hao walishindwa kutoa msaada, wakasubiri uchuguzi wa Mwananchi ndio waelezee tukio.
Mwananchi ninyi, uandishi huu unastahili zawadi. Kwamba chanzo kingine kilichoko ofisi nyeti Dodoma, kimedai baada ya kufika kwenye gari, mtuhumiwa akatimiza haja zake!
Yaani mfanyakazi aliyeko ofisi nyeti tena Dodoma alishuhudia hilo tukio, badala ya kutoa taarifa Mza akaenda Dodoma kumsubiri mwandishi wa mwananchi mwenye uwezo wa kutabiri, mtumishi wa ofisi nyeti aliyekuwa mwanza siku ya tukio na alishuhudia kilichotokea.
Tujiulize, binti alibakwa the cask ghana, akaenda km zaidi ya 25 Malimbe. Vipi maeneo yote hayo alipita hospitali na vituo vingapi vya Polisi.
Kufika Malimbe akavua nguo na kulala kwa siku mbili katika chuo kinachofundisha kozi ya sheria na katika wakati huu ambapo elimu ya nini ufanye au usifanye ukikumbwa na hali hiyo inatolewa kila mahali.
Kwanini, mwananchi wanatoa habari za upande mmoja hivi?
Unakumbuka yule kamanda wa police mkoa wa Dodoma kama ndo unakumbuka basi huo ndo utaratibuKama ushahidi umepokelewa huko Polisi, Je, kwa Nini ushahidi huo haukupelekwa Mahakamani kwa ajili ya kufungua Kesi ya jinai badala yake umewekwa humu mtandaoni ili watu wote waone? Huu ndio utaratibu wa utendaji kazi kwa Jeshi la Polisi???