Maulidi Kitenge kesi RC aliyelawiti achana nayo kama umelipwa umeshupalia sana

Mbona police huwa wanaripoti kwenye vyombo vya habari matukio ya kukamata waaharifu hata kabla ya kuwapeleka mahakamani?
 
Mmejazana humu kumtetea kwanini asisingiziwe RC mwingine ?kubaka kabaka period
Wala hatumtetei, bali tunajaribu kuliweka suala hili katika mizania ya Haki na kulipima.
Kwanza huyo mtu mwenyewe Mimi binafsi Wala simfahamu kabisa, hata jina lake ndio kwanza nimeanza kulisikia kupitia kwenye sakata hili.
 
Mbona police huwa wanaripoti kwenye vyombo vya habari matukio ya kukamata waaharifu hata kabla ya kuwapeleka mahakamani?
Hivi unaelewa maana ya Nyaraka za Siri (Classified Documents) na namna jinsi zinavyotakiwa kuwa handled??? Unataka Nyaraka hizo za Siri ziwe zinawekwa hadharani kwenye mitandao kama hivi walivyofanya hao Polisi kwa huyu RC? Seriously??
Kumbuka kwamba, hata baadhi ya hao Askari Polisi wanafanya Mambo kama haya ya udhalilishaji taarifa zao za Siri pia Watu wanazo, endapo kama taarifa hizo zitawekwa hadharani basi itakuwa ni balaa zito Sana kupita kiasi.

Je, unajua ni kwa nini kwenye mchakato mzima wa uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Serikali 'vetting' yao inafanyika kwa Siri tu na Hakuna vetting ya Wazi kama ilivyo ktk nchi fulani fulani hivi? Unajua ni kwa Nini? Je, unataka ripoti za vetting za Siri za wateule hao ziwe zinawekwa hadharani kama hivi walivyofanya????
 
Haya ni maigizo tu
Binti ambae hajawahi kuliwa Tigo anawezaje kuliwa ndogo kwenye gari tena pasipo hiyari?

Fikirieni ugumu wa kitendo hicho sehemu yenye nafasi kwa binti aliyetayari na fananisheni na binti asiyetayari kwenye sehemu finyu garini
 
Malumbano ya Nini? RC mtenguliwa aende mahakamani akalishtaki gazeti la mwananchi na rais kutengua uteuzi wake bila ridhaa yake.
Kama sio mfiraji aende mahakamani.
 
Haya ni maigizo tu
Binti ambae hajawahi kuliwa Tigo anawezaje kuliwa ndogo kwenye gari tena pasipo hiyari?

Fikirieni ugumu wa kitendo hicho sehemu yenye nafasi kwa binti aliyetayari na fananisheni na binti asiyetayari kwenye sehemu finyu garini
Binti alikeweshwa halafu kumbuka aliyemfanyia hicho kitendo Ni mzoefu.
Kwanza wewe vipi. Kwenye siti ya nyuma ya Toyota crown huwezi kufanya hicho kitendo kwa ufanisi, ukitikia maanani binti alikua tila Lila?
 
Possibly
 
πŸ€”πŸ€”πŸ“
 
πŸ“βœοΈπŸ€πŸ€”
 
βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ’πŸ›‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…