I adore you too mremboπππ ( love & respect)Hahaha me sitii neno kwa watu naowaheshimu kama wee
Hata nkijua anaipiga kamba nanyamaza
Sisi wa Enzi ya Mwalimu hatukuwa na haya matatizo sana, as we used to eat Natural food.Poleni
Hata wanaume pia wapo wavivu
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°I adore you too mremboπππ ( love & respect)
Wa enzi za nyerere mko juu sanaSisi wa Enzi ya Mwalimu hatukuwa na haya matatizo sana, as we used to eat Natural food.
Chonde chonde msifanye Ugoro upande bei manake Sisi wazee tumezoea kutumia Ugoro kama Kiburudisho miaka na miaka π€ͺ
Ndii wanajitangaza. Subiri baada ya two weeksMbona soko la Ugoro bado liko chini?
Inatisha sanaEeeh mungu tuokoe[emoji26]
Labda hivyo, mi nikijipaka hiyo labda ziwepo tano kabisa maana moja haitatosha, ikiwasha natural tu nahisi wehu je niipakae tumbaku,, kuna watu wanajiweza mweeeπππππ
Wanaweka washakuwa na tiba pemben