Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
Kabisa sema hakuna nyongeza ya mshahara mwezi huuCrdb bado
Bado CRDB.Tayari
Utumishi wa umma ni wito na sie tuko tayari kukuhudumia muda wowote bila kujali njaa zetu.Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
AminUtumishi wa umma ni wito na sie tuko tayari kukuhudumia muda wowote bila kujali njaa zetu.
Naku report asee unaharibu uzi.Tayari
Sasa hii ni nyongeza au mshahara wenyewe?🙄
Huyu akishachukua laki tatu! Tabu ipo pale pale!
Vitu vingine ni bora kuuliza...Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Hhaha kuna watu wako vijijini uko asije akala nauli yake ya elfu 20 kwenda ATM na akakuta mshahara bado ni vyema apewe updates.Mi hiki kitendo huwa nakiona cha aibu sijui kwanini......anyway haya.