State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mfumo wa maisha waliouchagua watumishi walio wengi.Mi hiki kitendo huwa nakiona cha aibu sijui kwanini......anyway haya.
Tunaishi kwa kutegemeana mkuu na sio kila anaeuliza umu ana njaa.Wafanya biashara wanafiki sana watakuja kudhihaki watumishi hapa kumbe na wao wanasubiri tulipwe vibishara vyao vieende 😂😂
Wala sio aibu..ni haki yao,sio kila mtu ana c/nMi hiki kitendo huwa nakiona cha aibu sijui kwanini......anyway haya.
Watuache wapambane na mishahara yao wizo 😹
Ikiingia mje kutuchuna,Watuache wapambane na mishahara yao wizo 😹
Ndio kazi ya PESAIkiingia mje kutuchuna,
Ebhana mtuhurumie jamani alafu ikifika mwisho wa mwezi tukija lia njaa mnatucheka dahNdio kazi ya PESA
Kama huweki saving na una matumizi mabovu kwann tusikucheke??Ebhana mtuhurumie jamani alafu ikifika mwisho wa mwezi tukija lia njaa mnatucheka dah
Sasa saving zenyewe mnazitaka na mnataka tuwapeleke sehemu nzuri sasa tuta save vipi hela.Kama huweki saving na una matumizi mabovu kwann tusikucheke??
Kabisa apa naona ngoma imelala leo.Kesho muda kama huu tyr kila mtu kafa na chake.
Pesa yake Matumizi🤣🤣🤣🤣Ndio kazi ya PESA
smhani naomba utume picha zaidi nmependa kibwambwi hiko😋
Njaa imempiga ad kakimbia.Chura kiziwi 😏