Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Hhaha kuna watu wako vijijini uko asije akala nauli yake ya elfu 20 kwenda ATM na akakuta mshahara bado ni vyema apewe updates.
Lakini anaweza uliza watumishi wenzie tu hapo, ila pia ajiunge na huduma ya kupata msg.....

Honestly mie huwa najihisi aibu kuuliza katika group vipi mshahara tayari kama naona nahitaji kufanya hivo nitamuuliza tu mtu inbox ila hii ya public sijui kwanini.

Samahanini kwa mtakaokwazika.....mko wapiiii 😹
 
Back
Top Bottom