Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Vijana mlioanza kazi karibuni mna washwa sana na mishahara.

Kuna mwezi ambao hamkuwahi kulipwa?

Kwani mkija kuulizia humu kuna faida gani kama sio kujidharirisha tu? Tulieni mishahara itangia
 
Basi msiwe mnauliziaulizia sana mishahara jamani kha kwani mnaotoa picha mbaya sana kwamba mnafanya kazi kwa kujilazimisha tu na sio kwa wito kama ulivyosema na hiyo mishahara mnayolipwa ni kiduchu sana haiwezi kuwatosheleza kwa mwezi mzima.
Any way poleni nawaonea huruma jamani mnavyolalamikalalamika kuulizia mishahara.
Nakumbuka nilivyokuwaga muajiriwa mshahara wangu nilikuwa nautumia kukopea benki na kufanya uwekezaji tu nilikuwa sina time na mshahara kwa kweli.
Nawashaurini kopeni kwenye mabenki mfanye biashara muwe mnaingiza kipato kingine.
Naamini kabisa katika mazingira unayoishi huwezi shindwa kubuni biashara yeyote , jaribuni hata biashara ya bodaboda huwezi kosa kijana mwaminifu wa kufanya hiyo kazi.
Na pia jitahidini kuishi maisha ya kujibana ya kujinyima vitu ambavyo sio vya msingi ili kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima.
Nawashauri msome kitabu kinaitwa the richest man in babylon na uzifanyie kazi theory zake, nyingi ni simple na zipo kiuhalisia kabisa na maisha yetu ya kila siku.
Nyie ndio injini ya Serikali mnapokuwa na malalamiko madogomadogo haya ya kulalamikia mishahara kuchelewa wakati mwisho wa mwezi haujafika mnatia mashaka kwa sisi wananchi wa kawaida kwamba injini ya serikali yetu haipo sawa.
Eeh Mungu Baba Mwenyezi liangalie kundi hili la hawa watumishi wa umma wanaouliziaulizia mishahara kabla ya mwisho wa mwezi na kwa jinsi itakavyoona inafaa waondokane na kero hii .Amina
Hahaha na iyo ndio raha ya kazi. Raha ya kazi ni kuulizia mshahara unatoka lini 😀😀
 
Hiyo bajeti anaipangaje bila kuwa na mshahara mkononi, kuuliza kwao hakumaanishi hawajui bajeti.
Hilo ni wazo lako na sio lazima liwe wazo lao.
jikite kwenye yale unayoweza kuyafuatilia bila kuingilia mipango ya wengine.
 
Wewe endelea kulialia mshahara haujaingia badala ya kutafuta vyanzo vingine vya mapato
Kwani inakatazwa kuedit?
Tajiri wa nyuma ya keyboard unaewananga maskini wa akili yako.
Jamii forums ni jukwaa huru, usiingilie uhuru wa wengine.
Wakilalamika hawakulalamikii wewe. Utulie umalizane na shida zako kabla hujapambana na shida za wengine.
 
Waache Watumishi na nyuzi zao, fuatilia nyuzi zingine Chief
Lazima waambiwe ukweli, hamna mwenye hati miliki ya nyuzi ndgu.

Unapoona unaweza kuchangia changia, waamshwe waache uzembe uzembe.
 
Mnawasema watumishi wakiulizia ujira wao wakati wamefanya kazi mwezi mzima? Mpaka mtu anaajiriwa anaingia kazini saa 1 anatoka saa tisa jioni maana yake tegemeo lake ni huo mshahara sio dhambi kuulizia ukichelewa.
 
Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Ungejua wanavyopiga hela za miradi ungekua mpole.
Uliona kile kibanda Cha mlinzi kilichojengwa kwa milioni Saba?
Ile mikopo kwa ajili ya wanawake na walemavu unajua wanao Ila?
Umeshawahi kusoma report ya CAG?
Kuna mtumishi aliye kazini miaka mitano Hana nyumba? Mshahara wa laki tano unajenga nyumba?
Kinachofanyika Ni kwamba, serikali Ina pretend kulipa watumishi na watumishi Wana pretend kufanya kazi, lkn wanajilipa humo humo.
Muda mwingi wafanyakazi wa serikali wako kwenye simu zao janja, ukitaka hudma lazima ulipie, ninyi mnaita rushwa wenyewe wanaita za pembeni.
 
Habari za jioni,

Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma.

Ahsanteni.
Kimenikaaaaa eeeeeehuuuuuu angalau tulipe madeni
 
Back
Top Bottom