Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatia aibu....tuuze hata pipi jamani au papa au popo 😹The "Rat race"Ndio mfumo wa maisha waliouchagua watumishi walio wengi.
Aisee hii ni hatar lakin annual increment si imerejeshwa?Ukiangalia salary slip kwenye ESSS watumishi utaona kua nyongeza ya mshahara hakuna kwa kila mtu.
Ndio hiyo naizungumzia mkuu hakuna ongezeko.Aisee hii ni hatar lakin annual increment si imerejeshwa?
😂😂😂 jamaniUmeitwa? kichwa kama sufuria ya kande.
Nyuzi zenu ziunganishwe, kila mwezi mnalia shida hamjistukii aisee.Umeitwa? kichwa kama sufuria ya kande.
Magufuli aliharibu sana hii kituNdio hiyo naizungumzia mkuu hakuna ongezeko.
Irejeshwe kwa tija gani mlioonyesha?Aisee hii ni hatar lakin annual increment si imerejeshwa?
Basi msiwe mnauliziaulizia sana mishahara jamani kha kwani mnaotoa picha mbaya sana kwamba mnafanya kazi kwa kujilazimisha tu na sio kwa wito kama ulivyosema na hiyo mishahara mnayolipwa ni kiduchu sana haiwezi kuwatosheleza kwa mwezi mzima.Utumishi wa umma ni wito na sie tuko tayari kukuhudumia muda wowote bila kujali njaa zetu.
Jirani yangu hapa anasema "pilipili usioila inakuwashia nini?" End quote.Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Dah fremu hiyo imevimba!Sasa hii ni nyongeza au mshahara wenyewe?🙄
Siyo maisha magumu kiivyo. Unajua binadamu akijua kitu chake kipo mahali, atapenda kukiona na kukimiliki. Hivyo wanaouliza mshahara pengine hata wasiende kuuchukua mpaka siku kadhaaa!Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Unafanya biashara gani tajiriBasi msiwe mnauliziaulizia sana mishahara jamani kha kwani mnaotoa picha mbaya sana kwamba mnafanya kazi kwa kujilazimisha tu na sio kwa wito kama ulivyosema na hiyo mishahara mnayolipwa ni kiduchu sana haiwezi kuwatosheleza kwa mwezi mzima.
Any way poleni nawaonea huruma jamani mnavyolalamikalalamika kuulizia mishahara.
Nakumbuka nilivyokuwaga muajiriwa mshahara wangu nilikuwa nautumia kukopea benki na kufanya uwekezaji tu nilikuwa sina time na mshahara kwa kweli.
Nawashaurini kopeni kwenye mabenki mfanye biashara muwe mnaingiza kipato kingine.
Naamini kabisa katika mazingira unayoishi huwezi shindwa kubuni biashara yeyote , jaribuni hata biashara ya bodaboda huwezi kosa kijana mwaminifu wa kufanya hiyo kazi.
Na pia jitahidini kuishi maisha ya kujibana ya kujinyima vitu ambavyo sio vya msingi ili kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima.
Nawashauri msome kitabu kinaitwa the richest man in babylon na uzifanyie kazi theory zake, nyingi ni simple na zipo kiuhalisia kabisa na maisha yetu ya kila siku.
Nyie ndio injini ya Serikali mnapokuwa na malalamiko madogomadogo haya ya kulalamikia mishahara kuchelewa wakati mwisho wa mwezi haujafika mnatia mashaka kwa sisi wananchi wa kawaida kwamba injini ya serikali yetu haipo sawa.
Eeh Mungu Baba Mwenyezi liangalie kundi hili la hawa watumishi wa umma wanaouliziaulizia mishahara kabla ya mwisho wa mwezi na kwa jinsi itakavyoona inafaa waondokane na kero hii .Amina
Kwani mwezi wa mfanyakazi uanza lini?Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Labda unasema wauza mchele na mbogamboga sokoniWafanya biashara wanafiki sana watakuja kudhihaki watumishi hapa kumbe na wao wanasubiri tulipwe vibishara vyao vieende 😂😂
Yaan kunywa unategemea mshahara utoke? hiyo kazi bora kuachana nayo.Kwa leo sidhani kama tutapata mzigo, tusubiri kesho, huenda muda kama huu tutakuwa tunaagiza moja baridi moja ya moto
Unashangaa nini sasa. Taarifa huwekwa sawa kabla hela hazijaingizwa kweye accounts. Au unadhani process za mishahara ni kujibonyezea kibatani na hela zinaingia?Cha kushangaza, pesa haijaingia ila kwenye ESS wameweka salary slip ya mwezi huu🤣🤣
Waache Watumishi na nyuzi zao, fuatilia nyuzi zingine ChiefNyuzi zenu ziunganishwe, kila mwezi mnalia shida hamjistukii aisee.
Huko shule mlienda kufanya nini kama hata bajeti ya mwezi tu inawashinda.
NAKAZIAMi hiki kitendo huwa nakiona cha aibu sijui kwanini......anyway haya.