Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Watumishi wa umma wana maisha magumu saana yaani hata mwezi haujaisha mshaanza kuulizia mshahara
Vitu vingine ni bora kuuliza...

Mwezi kuanza na Kuisha kwa Mtumishi wa Umma unaanzia wapi na unaishia wapi....Itakusaidia

Kwa kukusaidia tu....Mwezi unaanza pale alipolipwa Mshahara wake wa mwisho....Ndiyo maana kuna wengine wanapokea Mshahara terehe 20,21...Wengine tarehe 30 nakuendelea..

Ahsante
 
Back
Top Bottom