Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

Maskini mnaongozaga kwa kutoa ushauri butu
 
Kamati ya roho mbaya mpaka sasa inaongoza 1-0 dakika ya 89'
 
Maskini mnaongozaga kwa kutoa ushauri butu
Poleni sana , na Mungu Baba Mwenyezi mjinga kama huyu endelea kumweka hapohapo awe tegemezi wa mshahara na huku ikifika tarehe 20 ya mwezi mshahara uwe umekwisha ateseke yeye na vizazi vyake 4 wawe wategemezi ya mishahara ya serikali ya ngazi ya tgos.
 
Hahaha na iyo ndio raha ya kazi. Raha ya kazi ni kuulizia mshahara unatoka lini 😀😀
Sema labda raha ya kazi kwa nyie waajiriwa msiojielewa.
Kwangu mimi raha ya kazi ni kukamilisha tasks na kutimiza malengo ya shughuli na mipango iliyowekwa
 
hivi kuulizia mshahara wangu huwa inamaanisha nina maisha magumu.
Kuulizia mshahara kabla ya mwisho wa mwezi?
Kiutaratibu mtu anatakiwa kudai mshahara na sio kuulizia .
Sasa mwisho wa mwezi haujafika unakuwa na nguvu gani ya kuulizia mshahara kama sio kujizalilisha na kuonyesha kwamba hauna pesa.
Inatakiwa kama mwezi umepita na hujalipwa ndio unakwenda kudai mshahara kwani hapo unakuwa na haki.
Kama unaulizia mshahara na mwisho wa mwezi haujafika wewe utakuwa na maisha magumu ndugu. Mshahara umekata na hauna chanzo kingine cha fedha kwa kifupi wewe ni maskini .
Poleni sana watumishi na mnatakiwa mfahamu kwamba karibia 85% ya watumishi wa serikali wapo kwenye kundi la watanzania maskini
 
Endelea kushobokea mambo ya watu, utat*mbwa
 
Twendeni tukapige moja baridi moja ya moto tayari mshahara umetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…