Bonnie99
New Member
- Sep 16, 2021
- 2
- 8
Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako
Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao hukuwadhania katika fikra zako au mtazamo wako na kukufanya usifikie malengo yako katika maisha.
Lakini hii sio sababu endapo una kiu kwenye kile unachokitaka maishani Ni wakati ambao inakubidi ukubaliane na hali husika sababu ni wakati ambao hutakiwi kupunguza mwendo bali kuongeza NIDHAMU,UVUMILIVU na MWENDELEZO kwa jambo unalolifanya.
Kuna wakati ambao unafanya jambo fulani lakini hakuna ishara ya kukutaarifu kuwa MWENDELEZO unahitajika ili kupata matokeo unayoyataka maishani na Ni vigumu sana kuligundua hili endapo tu ukiwa na hasira na kile unachokitaka maishani
Kuna wakati inabidi upite kwenye matope ili uione njia yako ya mafanikio, kuna wakati utakanwa na rafiki, ndugu au mtu yeyote yule sababu ya changamoto zinazokukabili lakini Ni CHANGAMOTO tu sio wewe, changamoto zitapita ila wewe upo milele
Usikubali kurudishwa nyuma na changamoto sababu ni za muda tu kuna wakati zitaisha muda (expire) na utaziona za kawaida.
Pia kuna wakati inabidi ubadishe namna unavyojiona ili kukabiliana na maumivu ya kushindwa na kukata tamaa ili kufikia malengo yako usisubiri mtu wa kukuamsha ili usonge mbele bali ni wewe mwenyewe.

Upvote
7