Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

kwa maelezo yako inaonyesha bado unampenda sana....angalia usije kujiua
 
Visasi havina faida dunia ya leo sana sana kujipotezea mda tuu na watu wasiokua na faida, no body is perfect huenda tuu mpenzi wao katosheka na wewe au kuna mwenzio kakuzidi kete.
 
Nakuelewa sana mkuu. Na ukiona hapa jukwaani mtu anakubeza basi hajawahi penda kwa dhati.Na hayajamkuta

Jitahidi kutokaa peke yako. Kama upo jirani na swimming Pool unaweza kwenda kuogelea. Hata kwa kukaa tu kwenye maji na kutoka. Tazama movies.
Usifuatilie kabisa, Yaani kwepa kujua habari za huyo mpenzi wako. Maana zitakuumiza sana.

KATA SHSURI KUWA AMESHAONDOKA NA HSTORUDI. Usipowaza hivyo utaendelea kusubiri na hutomsahau. Utakuwa unajipa matumaini hewa yatakayofanya usimsahau Kirahisi. MSAHAU, MKATIE TAMA YA DHATI USONGE MBELE. Najua ni ngum lakini vumilia
 

Duh hapo kwenye nyekundu pamenifurahisha sana ushauri mzuri
 
Duh hii situation naifahamu sana hapo kwenye nyekundu nguvu ya kuogelea utaipata wapi yakikukuta na hiyo ya movie ndio itakuchanganya kabisa hasa utakapowaona wamenzi wawili kwenye movie itakukumbusha maumivu tena mkuu
 
huyo demu anakuzimikia sema anakufantia kusudi kwa sbb anajua ulimpenda sana (wanasema alikuweka kiganjan).

Simply hapo, mblock tu! acha kujibizana nae. haitapita week atarudi kuomba msamaha
 
Asante kwa kunielewa mkuu. Maana wengine wanasema Mimi mwanaume gani pasipo kuelewa huyu sio demu wangu wa kwanza ni vile nilimpenda sana.
 
Gharama za kumrudia ni kubwa kwa kweli kwanza naanzaje wakati yeye ndio kaenda.
 
weka namba yake hapa nianzie hapo,
Kwanza nitamkanya aache kukupiga vijembe whatsApp.
Pili, nitamwambia awe na uhusiano wanaume wa kweli kama sisi sio vivulana.
Tatu, nitakuwa natafuta pesa kwa hasira ili nimuoneshe.
 
We all went tht road bro..askwambie mtu,hata uwe komandoo,hapo kwwnye hisia lazma uta sarenda,.jikaze tuu,utamsahau,..sio we wa kwanza bro..after ths najua uta come up na solution nyiing za kupambana na mapenz,mfano,(ths is for thoose who realy dont want to get hurt again n again) 1.have multiple partners.2.kua na mtu anaekupenda sio necessary unaempenda.3.dont giv a f*ck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…