Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

pole sana mkuu nashauri usichukulie poa maana hapo lilipo tatizo ndio panafanya u hustle otherwise utapata tabu sana
 
1.acha puli
2.gonga mwanamke

Nakumbuka nikiwa uboyzini,shule ndo yalikua magonjwa yetu hayo.sabab tulikua na ugumu wa kufa mtu halaf tulikua wanachama kindakndak wa chaputa
 
ndio usake tiba sasa. Jipeleke tu hospitali kwa uchunguzi
 
Tangu nizaliwe sijai fanya sex, kuna time inafika nafikiriaga sana mapenzi lakini sijawai kulala na msichana yeyote, nikishika kende langu naskia uchungu tatizo ni gani?
 
Tangu nizaliwe sijai fanya sex, kuna time inafika nafikiriaga sana mapenzi lakini sijawai kulala na msichana yeyote, nikishika kende langu naskia uchungu tatizo ni gani?
Korodani kuvimba na kuuma kuna uhusiano gani na punyeto?
 
Nimewaza pia kuhusu testicular torsion but maumivu ya hiyo kitu ni severe sana na ngumu kuvumilika, hata muda wa kuandika hapa sidhan kama angepata.. pdx yang ni epididymo orchitis, ddx inguinal hernia, na pia muhimu kufanya scrotal Uss, Fbp for neutrophill level, then physical examination ifanywe kwa Uzuri, nadhan dx itapatikana.. kwa maana hiyo muhimu aende hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimekuja kwenu nina tatizo la korodani moja kuuma ni wiki mbili sasa haya maumivu nataka kwenda hospitali Jumatatu nionane nadaktari alie specialize katika nini..pia nipeni ushauri watiba ya awali kabla sjaenda hospitali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo Mkoa Gani
Inaweza Kuwa Henia Ila Hospital Utapata Jibu Sahihi
 
KUNYWA ALOVERA KATA KIPANDE WEKA KWENYE KIKOMBE CHENYE MAJI KUNYWA KWA SIKU MARA MOJA.NA PIA KAMA ULIKUWA NA TABIA YA KUJICHUA ACHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…