Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Habari zenu wanajamvi.

Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma.

Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote kuna kipindi hutulia kabisa hata wiki na mara nyingi huwa pumbu ya upande wa kushoto nishajaribu kufanya vipimo nikaambiwa ni infection nimekunywa dawa lakini bado hili tatizo.

Vilevile napenda kujuzwa kama kuna mahusiano yoyote kati ya magonjwa ya zinaa na kuuma pumbu.

Natanguliza shukrani kwa msaada
 
Habari zenu wanajamvi,

Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma.
Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote kuna kipindi hutulia kabisa hata wiki na mara nyingi huwa pumbu ya upande wa kushoto.

Vilevile napenda kujuzwa kama kuna mahusiano yoyote kati ya magonjwa ya zinaa na kuuma pumbu.
Natanguliza shukrani kwa msaada
 
Jaribu kuzipa mazoezi,,,,, zipekechepekeche na kuzivutavuta huku ukizipasha na maji ya vuguvugu kama upo maeneo ya baridi sana.
Na kama wewe ni mwanachama wa CHAWAPU jaribu kusitisha zoezi walau kwa week 1ili kuvipa mapunziko via vyako vya uzazi.

Asante
 
Jaribu kuzipa mazoezi,,,,, zipekechepekeche na
kuzivutavuta huku ukizipasha na maji ya vuguvugu kama
upo maeneo ya baridi sana.
Na kama wewe ni mwanachama wa CHAWAPU jaribu
kusitisha zoezi walau kwa week 1ili kuvipa mapunziko via
vyako vya uzazi.
Asante
 
1.vip wake za watu au haujakwapua kisicho chako?

2.kama moja hapana, punguza kugegeda kijana kuna uwezekano mkubwa unapiga "double impacts" yan unakula papuchi na unakula selfie(nyeto)
 
1.vip wake za watu au haujakwapua kisicho chako?

2.kama moja hapana, punguza kugegeda kijana kuna uwezekano mkubwa unapiga "double impacts" yan unakula papuchi na unakula selfie(nyeto)
hapo kwenye nyeto uko Right bro maana nishakuwa kama teja mkorea
 
Jaribu kuzipa mazoezi,,,,, zipekechepekeche na kuzivutavuta huku ukizipasha na maji ya vuguvugu kama upo maeneo ya baridi sana.
Na kama wewe ni mwanachama wa CHAWAPU jaribu kusitisha zoezi walau kwa week 1ili kuvipa mapunziko via vyako vya uzazi.

Asante
Your Exactly Boss napiga sana Nyeto pia now nimeacha nna week mbili lakini still Maumivu yanazidi
 
Back
Top Bottom