Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Nina tatizo la hernia inasumbua ipo sehemu ya kinene karibu na paja imesababisha pumbu moja kuvutika na kupanda juu huwa inauma kipindi cha baridi au nikifanya kaz ngumu
 
kuna wanawake wanaingiza pmbu ukifanya nao, hapo lazima iume
 
Habari, natumaini mu wazima wa afya kabisa, mimi nina tatizo moja hapa limenitokea hivi karibuni la korodani zinaniuma kwa muda halafu zinaacha sometime hata ukizigusaa unasikia maumivu kwa mbalii.

Sasa naombeni kujua suluhu, na nini inaweza kuwa sababu ya tatizo hili maana limeniogopeshaa haswa kwasababu hata tendo la ndoa bado sijashiriki kabisa tangu nizaliwe, labda kuna dawa.

Naombeni msaada wenu hapaa kuna watu wenye taaluma tofauti na pengine wengine si mara ya kwanza kusikiaa haya.
 
Oohhh ,huwa haujiwazishi sex kiasi cha uume kusimama muda mrefu? yaaani unafikiria sex muda wote kiasi cha kuhisi kama unataka kumwaga shahawa?
 
duu heniaaa sijuii
Dogo usishangae,hiyo ni henia au waswahili tunasena mnyama katoka porini.ilinisumbua sana hii ile miaka ambayo Dk Mwaka alikuwa anawika katika kuweweseka nikajikuta naenda pale kwake akanipiga Tsh180,000/= still sikupona nikaja kuponea mtaani kwa hawa wachuuzi wadogo wadogo wa dawa za kienyeji kwa Tsh4,000/= tu hospitali ukienda wanakushika shika wanakuandikia dawa ila nahisi hazisaidii chochote.
 
Back
Top Bottom