Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Dalili ya kushuka Busha hiyooo! mkuu kamuwahi Doctor haraka kabla Hernia haijapeya, venginevyo utakujaishia Kuvaa Msuli.
 
Ni vyema ukaenda hospitali tu, hapa utakutana na matabibu Mwaka kibao ambao hawana wakijuacho.
Nilishaenda mkuu, na miongoni mwa matatizo niliyokua nayo nimeshapona ikiwa na kujisikia haja ndogo mara kwa mara baada ya muda mfupi.
 
Nina tatzo nikiwa na hamu ya tendo la ndoa nisipofanya korodani zinauma sana, kuna kamshipa fulani hivi kinajaa yaan hata kutembea siwezi ni ugonjwa au ni kawaida kwa wanaume?
 
Nina tatzo nikiwa na hamu ya tendo la ndoa nisipofanya korodani zinauma sana, kuna kamshipa fulani hivi kinajaa yaan hata kutembea siwezi ni ugonjwa au ni kawaida kwa wanaume?
Hiyo ni ngiri hiyo mkuu fanya uende hospital upate tiba
 
Naomba msaada korodani zangu zimesinyaa pia sitoi sperm za kutosha zinatoka nyepesi Sana harafu kidogo, msaada tafadhali.
 
aliekuambia korodani kusinyaa ni tatizo nani?hlf kuhusu ujazo wa shahawa asali na mdalasini changanya hlf kula vijiko viwili asubuh na jion kwa week 2 tu bila kufanya ngono ila km ni tatizo endelevu tumia ht mwezi 1-2
 
Aiseee uwe unaruka kichura kila asubuhi na jioni ila angalia usizidishe dozi ukafanya zining'inie chini
 
kuvimba kwa korodani moja na kuwa kubwa kuliko nyenzake, nakusinyaaa kwa uume ,uume kutokufanya kazi kama ilvokua nwanzo, je huo ni ugonjwa gani na tiba yake ni ipi?
 
upungufu wa nguvu za kiume,huwa una piga puli?
 
Back
Top Bottom