Fany ujiajirHabari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Bora hata wewe uliewahi kuajiriwaHabari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Uajiriwe alafu bos ndo TUKANA UONE 😂Bora hata wewe uliewahi kuajiriwa
Wengine tunaugulia maumivu ya kupoteza muda shuleniUajiriwe alafu bos ndo TUKANA UONE 😂
Roho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyoPole sana, tumia hayo maumivu kukupa hasira ya kupata kikubwa zaidi. Either ni ajira nzuri zaidi au kujiajiri.
Bado utaugulia kupoteza muda kuungulia kupoteza muda shuleniWengine tunaugulia maumivu ya kupoteza muda shuleni
Pole mkuu Dunia Ina mambo mengi ya kuumizaWengine tunaugulia maumivu ya kupoteza muda shuleni
Hii uliipata au ulisukumiziwa?Roho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
Pole mkuu, shida ilikua nini?Roho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
Imekuwaje hadi ufukuzwe ktk nyakati ambazo bado kazi unaihitaji, hebu tufafanulieRoho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
Unafikiri ni rahis ki namna hiyo?Fany ujiajir
Hukupoteza muda shulen. Trust me.Wengine tunaugulia maumivu ya kupoteza muda shuleni
Hebu nyoosha maneno. Umefukuzwa kazi au umesimamishwa kazi??. Kiswahili ni kigumu.Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Nipo napambana na cheti changu kama una connection nisaidie hata ya cashierHukupoteza muda shulen. Trust me.