Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Sio rahis ila hakuna jibu lingine la kupata unavyotafuta mbadala wa kuajiriwa. Ni ngumu kuelewa na kukubali, ila kama kun jibu lingine nje ya hili pia litamfaa aliseme hapa tumshauri
Vizuri. Ugumu wa hilo unatokana na situation alionayo kwasasa, kufikiri kujiajiri huwa ngumu sana baada tu ya kutoka kupigwa chini. She needs sometime to clear her head and get off "salary honeymoon". Akisharud kwenye uhalisia ndio huonushaur wako utamfaa ndio maana nikasema sio rahis kihivyo.
Japo it depends na mtu.

Ajira na mshahara is a dangerous dopamine.
Hata baada ya kujiajiri itamchukua muda kutotaman kurud kwwnye ajira.

It took me 6 months kukaa kujiajiri lakin hata baada ya kijiajir nikawa akil badoninataman kuajiriwa maana ndio ilikua my lifetime experience, sasa si rahis kuachana nayo. Baada ya muda nika cease kijibiashara changu nikarud tena kuajiriwa. Mpaka nilipopigwa tena chini ndio nikaona anhaa kumbe bora ni stick na one idea. Hapo ndio nika move on
 
Ajira ni kianzio, ajira inabid baadhi yetu tuielewe kama alternative mana kujiajiri pay more. Tukikubali kuwa ajira ni kianzio cha maisha ya kijana tutaulizana ni ipi stage ya pili?. Utaona kujiajir ndo jibu, kinachitkiwa ni kubadili plan B kuwa A. Matatizo mengine yanasababishwa na vipaumbele
 
Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Mkuu mbona hilo dogo.
Mradi una kichwa, mikono na miguu, huo ni mtaji tosha.
Tafuta kibiashara kitakachokutoa na kinalingana na fani yako ya kazi.
Mimi nilipitiaa huko na aliyenitimua ni Mkurugenzi Mkuu aliyeona siingii katika mitego yao ya kula pesa ya umma na kuigawa kwa wakubwa.
Nilipotimuliwa nikaaanza biashara yangu inayolingana na fani yangu.
Ndani ya miaka mitatu nikawa nimeagiza gari Japan.
Na wale waliofurahia nilipotimuliwa wakamhadithia huyo Boss.
Miaka mitano baadaye nikawa na 4WD moja kali toka Japan, na hapo huyo boss tukionana mitaani akawa anaona haya sana.

Mkuu usilalamike kutimuliwa ungali na Mungu nyuma yako, piga kazi na utamwaibisha huyo boss.
 
Mkuu unajua maumivu ya kufukuzwa na mshangazi..

Assume tuu ndo kwanza penzi halijamaliza hata week 3 anaanza kukuambia ety sijiheshimu..

Mkuu haujapata experience kama hiyo wewe .
Utatamani ardhi ipasuke mkuu
Nilikwambia ujenge geto lako, ona sasa umefukuzwa kwenye geto la shangazi!!!

Una bahati mimi nipo, ungeteseka sana we nyau na umalaya wako.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako ulikiwa kwenye kampuni kubwa ina branches kadhaa, na umekiri ni ngumu kupata kaz kama hio, hopefully ulikuwa unalipwa vzr pia !
Tumia ulochokuwa unawekeza/tunza ufungue kabiashara kako hata kama kadogo utakakuza taratibu, achana na mentality za kuajiriwa,,,, ! Utu wako hautaheshimika, utaonekana mbwa tu mbele za wakubwa hata kama ujitoe kiasi gani !!!!
 
Vizuri. Ugumu wa hilo unatokana na situation alionayo kwasasa, kufikiri kujiajiri huwa ngumu sana baada tu ya kutoka kupigwa chini. She needs sometime to clear her head and get off "salary honeymoon". Akisharud kwenye uhalisia ndio huonushaur wako utamfaa ndio maana nikasema sio rahis kihivyo.
Japo it depends na mtu.

Ajira na mshahara is a dangerous dopamine.
Hata baada ya kujiajiri itamchukua muda kutotaman kurud kwwnye ajira.

It took me 6 months kukaa kujiajiri lakin hata baada ya kijiajir nikawa akil badoninataman kuajiriwa maana ndio ilikua my lifetime experience, sasa si rahis kuachana nayo. Baada ya muda nika cease kijibiashara changu nikarud tena kuajiriwa. Mpaka nilipopigwa tena chini ndio nikaona anhaa kumbe bora ni stick na one idea. Hapo ndio nika move on
Hongera saana mkuu, una mambo mengi ambayo vijana tunahitaji kuchukua kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom