Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu pole sana, jikung'unte vumbi usogee mbele.Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante