Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Roho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
Ishu sio ukubwa wa kampuni na kuwa kuwa na brqnch kila mkoa. Hata kama ingekua kila kata, kaz kama sio ya baba ako tunachoangalia kwanza ni maslahi.
Just like wenye kazi yao wanavyoangalia kwanza loyalty kwa mtu kabla ya kumuajiri.
Kama kaz haikupi maslah hata iwe na ofices around the world that is just a trash.
Kampuni hata iwe haina jina na haijulikan hata level ya wilaya, kama it gives a life ,it worths working for.

Usichamganye mambo, utashindwa kutoka kwenye hii situation uliomo
 
Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
 
Nipo napambana na cheti changu kama una connection nisaidie hata ya cashier
Mkuu wewe zingatia jambo 1 mbali na hizo connection etc u have a pottential, na hata watu wasipoiona, itafika mahala mtaa utakulazimisha wewe mwenyewe kuiona ndani yako na utajutia sana kupoteza muda uliotumia kuwashawish watu waione pottential ulionayo.

Maadam pumzi ipo, jua tu ur day is comming around the corner.
 
Ahsante bro, kwa sasa naanza kujifunza coding online ili niweze kuchangamkia fursa zilizopo
 
Back
Top Bottom