Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

Kawaida tu hiyo, kubeba mzigo miezi yote hiyo mchezo.....ajipumzishe, mazoezi ya kutembea kidogo baada ya hapo ajinyooshe kitandani, kama akikaa basi aweke mto wa kumpa sapoti mgongoni.

Pia anaweza kupaka fastum gel kupunguza maumivu (apake sio kuchua)

Mpe hongera
 
Back
Top Bottom