Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu.
Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana sasa upande wa Ukrain umekua wa moto sana. kuna muda nakosa raha kabisa.
Kwakweli Russia wakirudishwa nyuma itakua fedheha sana ama team NATO/Ukraine ni wengi sana mtandaoni. Kuna muda nasema nisiingie kabisa mtandaoni kufatilia taarifa hizi ila inakua ngumu.
Binafsi sina chuki na nchi ya Ukraine wala wa Ukraine ila sipendi chokochoko za Marekani/NATO kujifanya ndio mbabe wa dunia kutaka kila mtu amuabudie ikiwemo kuleteana sera za ajabu kama hawa LGBTQHEUYGDEIEWIUSHIT.