Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Shida mnaiga. Nunua kitu kwa uwezo wako.
 
Mwamba aliwahi kuleta Range humu akidai ni yake, wahuni wakagundua ilikuwa befoward na ikauzwa huko sijui Zambia..

Ni mzinguaji sana!!
Sijui anajisikiaje akifanya masihara ya kizamani....kuna jamaa yangu member mwenzangu huwa anafanya makusudi kupost mada za uongo kwenye jukwaa la mahusiano alafu baada ya muda anakuta wajinga wenzake wanampa pole na wengine wanamtia moyo kumbe anazingua tu
 
Hii bmw X3 ni shida sana, Bora 5 series au 7 series
 
Huyu huwa anapenda kuchangamsha genge tu lakini ni mtu mmoja smart sana!

Ninauhakika na hili..
 
Unauza Tsh ngapi? Nataka niome kama kweli umechoka. 🤣
 
Tatizo kubwa Mkuu watz wengi hatujui magari yanataka nini. Hata hizo Toyota wanazosema ni rahisi kuzimudu siyo kweli, nyingi ni mbovu na zinatengenezwa na mafundi wababaishaji. Urahisi wa upatikanaji wa Spares fake sio urahisi wa kumiliki gari. Utofauti wa bei ya Genuine Spare Parts mpya ya Toyota na European Cars ni mdogo sana na sio kama watu wanavyodanganyana humu. Spare Parts nyingi za Toyota wanazosema ni cheap ni used siyo mpya!
 

Unaweza tumia hata 80m kama hauna busara ya kujifunza mambo na kwenda kwa mafundi wanaojielewa na ukawana.

Mafundi wa haya magari ni wepesi sana ku badili spare maana Hawana ujuzi, hakuna tofauti ya Gari la Ulaya na Japan, tofauti ni ufundi tu.
 
acha fix hizogari vitu vyake vipo juu sana. usilinganishe na gari za japani vituvyao bei ni nafuu.
 
Spare zilizo bwerere ni Used na fake ila genuine parts gharama ni almost sawa na za european cars.
At least kuna spares zitakazo kupeleka miezi sita.
Hapo vile vie uelewe kuwa almost 90% ya magari ya kijapan nchini ni used.
Life span ya gari 3~5 years.
Original spares za kukaa miaka 10~15 za nini?
 
hakuna tofauti ya Gari la Ulaya na Japan, tofauti ni ufundi tu.
Utofauti upo and ni mkubwa sana.

European wako ahead sana kwenye tech kitu ambacho hakipo kwa mjapani.

Ingawa inaweza kuwa rahisi kufix gari ya Europe hasa kwa sababu ya availbility ya resources kama manuals n.k. kitu ambacho ni kigumu kupata kwa japanese cars (Japanese cars nyingi manual zake zipo kwa kijapani au kirusi Unless upate Japanese car ambayo inauza world market mfano LC, LC Prado, Rav 4, Camry, Corolla, n.k.
 
acha fix hizogari vitu vyake vipo juu sana. usilinganishe na gari za japani vituvyao bei ni nafuu.

Spark plug ya 1ZZ FE ukienda toyota ni Tsh. 45,000/= kwa moja, tena siyo Iridium. So, kwa zote 4 ni Tsh.180,000/=

The same spark plug ukienda ilala inacheza kati ya Tsh. 7000/= mpaka Tsh. 10,000/= Na hizi ndio mnaletewa, Maana mkiletewa original hamnunui.

Hizi spare fake zingepigwa pini wanaoendesha mijapani wangekuwa wachache sana. Na wengi gari zao zingekuwa vimeo kama ilivyo sasa tu.
 

If you think deep, mimi na wewe tunachoongea ni hicho hicho, Sema wewe mjuaji.

Hiyo manual wewe umeisoma Mara ngapi? Au mafundi wa ki Tanzania wa mewahi isoma Mara ngapi?

Mfano : Nisha kuwa na BM ikawa Ina miss nikaambiwa ninunue pump baada ya vipimo, I ordered from Nairobi, ikaendelea kuwa na shida.

Nikaipeleka Nairobi, wakakuta Kuna cable ya air cleaner iko lose wakaisukuma ndani Gari mpya.

Hasara nilizopata:

1. Pump 700,000
2. Kulibeba Nairobi na kurudi 2m
3. Mda lililopark.

Tatizo hapo ni Gari la kijeruman au ni ujinga wangu na mafundi wa Ki Tanzania?

Sasa peleka vigari vya kijapan, mpaka fundi asiyejua chochote anafungua kila kitu inakuwa mpya, why? Mazoea na hayo magari.
 
spare zinakua naviwango vyabei kulingana na ubora.hapahapa bongo zipo feki na original.lakini kwa gari zaulaya spare zake nibei kubwa Hadi inapelekea wamiliki kununua yused. halafu Kuna gari nyingine zaulaya spare zake bongo hazopo Hadi uagize nje.
 
Hiyo manual wewe umeisoma Mara ngapi? Au mafundi wa ki Tanzania wa mewahi isoma Mara ngapi?
Manuals mimi ninazo na ninazitumia mara nyingi sana nikiwa nafanya repairs za magari. Sijui kwa mafundi wengine siwezi kuwasemea.




Mfano : Nisha kuwa na BM ikawa Ina miss nikaambiwa ninunue pump baada ya vipimo, I ordered from Nairobi, ikaendelea kuwa na shida.

Hapo hakukuwa na kipimo zaidi ya kukariri ambako kumezoeleka kwamba misi kwenye gari inasababishwa na pump, plugs and the likes.


Tatizo hapo ni Gari la kijeruman au ni ujinga wangu na mafundi wa Ki Tanzania?

Sasa peleka vigari vya kijapan, mpaka fundi asiyejua chochote anafungua kila kitu inakuwa mpya, why? Mazoea na hayo magari.
Bado narudia gari ya kijerumani ni rahisi kufix kuliko ya kijapani. Kama hujapata shida kwenye gari ya kijapani ambayo ilikusumbua kwa muda mrefu huwezi kuelewa ninachosema.

I assure you, kama nikiweka mzani asilimia ya gari za europe nilizofix na nilizofeli vs asilimia ya gari za japan nilizofix na nilizofeli.

Asilimia ya Gari za Europe nilizofix iko juu (Tena matatizo yaliyoshindikana). Maana anakuwa ameshazunguka nalo na halijapona so kilichobaki ni either kulipaki ndani au kujaribu mafundi.
 
Atakua bado yuko kwenye Njozi ya BMW...wabongo wamevurugwa sana kurudisha mpila kwa kipa ni ngumu hata kutoa nje kinachobakia ni kuharibu wengine wanaohitaji kuwa na hayo magari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…