Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Ukitaka kuzitunza hizo washer fluid motors hakikisha unapoona warning light ya maji yake kupungua, ongeza maji ya wipers la sivyo zitakuwa zinakufa unaingia gharama kuzibadilisha.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulinunua shi ngapi???
 
Ukimsoma vizuri kasema kalinunua kwa madalali pale Kinondoni Biafra....

Maana yake hakuliagiza wala hakulinunulia show room.

Anaweza akawa mtumiaji wa nne kwa hapa Bongo
 
Labda ni yeye ndo analiuza huko UsoKitabu...
 
Ukimsoma vizuri kasema kalinunua kwa madalali pale Kinondoni Biafra....

Maana yake hakuliagiza wala hakulinunulia show room.

Anaweza akawa mtumiaji wa nne kwa hapa Bongo

haya ndio maelezo yake niliyoyaquote mimi, Unaweza kusoma kwenye screenshot uone hiyo gari mwanzo aliandika aliipata wapi kabla hajabadili maelezo.

By the way huu uzi ni changamsha genge tu.
 
View attachment 2503848

haya ndio maelezo yake niliyoyaquote mimi, Unaweza kusoma kwenye screenshot uone hiyo gari mwanzo aliandika aliipata wapi kabla hajabadili maelezo.

By the way huu uzi ni changamsha genge tu.
Doh Sikuona... Basi nimekuelewa kiongozi

Huyu jamaa kweli ni kiazi. Ulimkamata pazuri sana.

Nakutaka radhi
 
Why rawama kibao wakat unaweza ukanunua Toyota au Mazda ttzo la wamiliki weng wa magari hamjui kuudumia wala kutunza magari ndo maana lawama kla sku haziishi

Weng mmeanza kumiliki Toyota, Suzuki mazda sasa mnazan eurpoean car ni sawa na japanese car kitu ambacho kunakosea ata philosophical zao ni tofauti kbsa
 
Eti msala[emoji28][emoji28][emoji28], sema Dullah inaonekana una hasira sana na hizi BMW[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huku mkoani siku hizi hatununui magari ya kwenu,tumeshawashtukia,tunaagiza wenyewe kutoka nje,hilo unalo mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…