Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

Tiba imepatikana na hatimaye maumivu yamefika tamati.

Nimeelimishwa, Nimefundishwa, Nimeonywa, Na nimeburudishwa pia.

Shukrani sana mkuu Kasomi kwa chuma hiki cha Mjerumani.
 
Asanteni wanandugu wote tuliokuwa pamoja kwenye simulizi hii Bila shaka tutakutana kwenye simulizi nyingine yenye kuelimisha,kuburudisha, na kuhabarisha kama hii.
Asante kwakuwa nami Kasomi nawashukuru wote

Special thanks to....
Reginald L. Ishala Insigne VON BISMACK kopo la chumvi MEK_TZ Smart911 Valentina Shunie QuentinTarantino Dalmine b2016 mriringa mcj
Don Vito Jtinah mriringa Otterhound lontor
Na wengine wote
Hii wiki nimeenjoy sana na story yako Mr Kasomi. Be blessed
 
Asanteni wanandugu wote tuliokuwa pamoja kwenye simulizi hii Bila shaka tutakutana kwenye simulizi nyingine yenye kuelimisha,kuburudisha, na kuhabarisha kama hii.
Asante kwakuwa nami Kasomi nawashukuru wote

Special thanks to....
Reginald L. Ishala Insigne VON BISMACK kopo la chumvi MEK_TZ Smart911 Valentina Shunie QuentinTarantino Dalmine b2016 mriringa mcj
Don Vito Jtinah mriringa Otterhound lontor
Na wengine wote
Mkuu unakipaji katika usimuliaji wako
Umetufunza jambo mhimu
Tupe tena simulizi nyingine
 
Bro asante sana kwa hu uzi wako Weka picha yake tumuone Careen kama hutojali.Uzi safi sana leo ndio nimeumaliza.
 
Back
Top Bottom