Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

Tiba imepatikana na hatimaye maumivu yamefika tamati.

Nimeelimishwa, Nimefundishwa, Nimeonywa, Na nimeburudishwa pia.

Shukrani sana mkuu Kasomi kwa chuma hiki cha Mjerumani.
 
Hii wiki nimeenjoy sana na story yako Mr Kasomi. Be blessed
 
Mkuu unakipaji katika usimuliaji wako
Umetufunza jambo mhimu
Tupe tena simulizi nyingine
 
Bro asante sana kwa hu uzi wako Weka picha yake tumuone Careen kama hutojali.Uzi safi sana leo ndio nimeumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…