Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari,

Nimekutana na mtu kabeba mayai nimeteleza nikayaangukia yakapasuka alafu nilikuwa na elfu tano tu mfukoni, nikayalipia 3500/- yale mayai, nikachukua chenji yangu na nilipofika nyumbani ile chenji sikuwa nayo sijui niliangusha wapi. Nikaona isiwe zengwe nilivyoenda kulala niliota matondo ya ajabu ajabu mungu nakwambia lile liuchi la yule dada lilikuwa linanikimbiza usiku kucha. Kwa kweli wanaume wanaogonga Malaya wana roho ya jiwe….

Hawa wanawake wanajulikana ka majina mengi mfano videge john na wengi wamezaliwa miaka ya 2000 basi tu miili mikubwa. Kwa mazingira niliyoyaona Jana pande za manzese Kwa kweli nimeyawazia mengi kuhusu maadili ya watoto wadogo. Nimeona ya kuwa uswahilini kunazalisha majibu Sana na vizazi vipya vinajikuta kwenye makundi haya:
  • Mashoga
  • Magonjwa ya zinaa
  • Vibaka
  • Walevi
  • Malaya
  • Ubakaji
  • Ngono zembe
Nawapa Ushauri: Wazazi jitahadharini Sana mambo mnayoyafanya yasiwaharibu watoto. Leo hii kwenye familia kunakuwa hakuna maadili, alafu unatagemea mtoto atakuwa kwenye maadili. Hawa watoto wetu ndio taifa la kesho, Taifa lililoporomoka kimaadili litakuwa ni taifa bovu sana. Haya mambo kama yanafanyika zitafutwa kumbi za starehe wakafanye huko lakini mbele ya watoto (na unakuta watu wazima wanaume wameshikilia korodani wanaona raha kubabimba); hayafai na wabambiaji wakatoe na viingilio kwenye kumbi. SHAME…

Unapita mitaa ya Uswahilini unakutana Na Mkeo Na Mwanao wako katikati ya kundi wanayakata mauno unafanyaje????
 
SWALI: Unapita mitaa ya Uswahilini unakutana Na Mkeo Na Mwanao wako katikati ya kundi wanayakata mauno unafanyaje????
 
Ndivyo utawala wa nchi unavyotaka.

Ukiwa na watu ambao akili zao zimekaa kwenye vigodoro, hawawezi kuamka na kudai haki zao za kikatiba.

Ndiyo maana unaona ujinga huu unaachiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wanashindwa kudai haki za shule za watoto na elimu bora kwa watoto wao wanawafundisha vigodoro
 
Na baada ya miaka yake 10 kuisha tunaanza kutafutana.
Si unajua kila mtawala anakuja na swaga zake

Kizibo


Baada ya miaka kumi hao watotot si ndo watakua wapiga kura si ndio, watayarudi kwenye majukwaa ya siasa.

Serikali za mitaa kazi zake mie sidhani kama wanazijua, kuna haja ya darasa
 
Hayo mambo yapo tu sema ni wewe huzungukii unayaona leo

Si ajabu ile video ya yule mtoto wa miaka 16 anakatikia mjalubengi wa uncle lake lizee hukuiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SWALI: Unapita mitaa ya Uswahilini unakutana Na Mkeo Na Mwanao wako katikati ya kundi wanayakata mauno unafanyaje????
Ndege wafananao huruka pamoja unadhani hao wanawake hawana wanaume? Wameolewa na Mume akimkuta hawezi mfanya chochote maana wote wamekutana pipa na mfuniko
 
Unawapigia makofi....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahhah we jamaa wewe utakuwa umevuta bangi yani uwapigie makofi

Kuna mzee mmoja mwanae wa darasa la tano alikuwa anatembea na mzee mtu mzima. Basi siku alivyojua alilewa sana wakati anagonga mlango wa nyumba mkewe akaogopa kufungua maana jamaa mkorofi. Basi jamaa akawa anatukana pale mlangoni "yani mie naenda kazini alafu m*atombw tu, mama u*atombw GONGO LA MBOTO, mwanao a*atombw MBAGALA". Uchngu wa baba hawaukumbuki kabisa...
 
Ndege wafananao huruka pamoja unadhani hao wanawake hawana wanaume? Wameolewa na Mume akimkuta hawezi mfanya chochote maana wote wamekutana pipa na mfuniko

Hahaha naona umemjibu huyo jamaa aliyesema akiwakuta tu mke na mwanae basi atawapigia makofi, kwa furaha aliyonayo
 
Back
Top Bottom