Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Hii ni fikra potofu,mbona Iran wana msimamo na maendeleo makubwa
Kwanza muulize yeye hiyo elimu yake hapa tanzania na rasilimali zote zilizomzunguka imemsaidia nini zaidi ya kuhangaika kuajiriwa tu.
Na hiyo zanzibar anayesema tatizo dini anajua kwamba imekuwa ranked number 1 island destination in the world imeipiku hadi ibiza
Akipunguza chuki za kidini ataweza kutumia akili
 
wacheni uongo na kupakazia udini ati kwa sababu ya uislamu. Utamaduni wa watu uko sehemu nyingi duniani na hauathiri utaliil. Zanzibar issue ni kuwa hawajajipanga kupokea watalii wengine kihivyo, hawana huduma za kutosha kupokea watu wengi kwa wakati mmoja, na mpaka hapo watakapojipanga basi ndiyo utalii utafanikiwa.

Utalii siyo lazima uwe wa kuvaa vichupi barabarani.

Kinachoitese Zanzibar ni CCM.

Hawana Uwezo wa kupokea watalii wengi kwa pamoja
Sera mbovu za uwekezaji
Miundombinu mibovu
Lack of promotion
Kodi kubwa zisizo rafiki
 
Huyo si ndiye mliyemleta ninyi? Tambua kuwa nafasi ya Zanzibar kwenye muungano baada ya mfumo wa vyama vingi, ni umakamu wa Rais. Na huyo makamu wa Rais anapatikana kwa majadiliano ndani ya hicho chama chenu cha CCM. Kwa hiyo huyu ambaye aliupata Urais kutokana na kifo, ni mapendekezo ya chama chenu huko Zanzibar. Leo mnamkana?

Mkataeni kuwa siyo mzanzibari. Watanganyika watampa uraia alimradi awaondoe waarabu wake aliowapa bandari na hifadhi zetu.
Nani alikuambia chama changu ni CCM?
 
Nani mwenye akili Zanzibar? Kama mngekuwa na akili mngeshindwa kupata hata umeme tu?

Zanzibar .na Tanganyika, sote hatuna kubwa la kujivunia, japo Tanganyika ina rasilimali nyingi na potential kubwa ya maendeleo.

Mna akili kweli , mnakuja Zanzibar kwa maelfu kutafuta ajira , wakati jinchi lenu limejaa rasilimali za kutosha ??

zimekaliwa na nyoka
 
Back
Top Bottom