Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Hana uwezo wa kuongoza mtu yule mama yenu ndio maana watanganyika wanajifanyia wanavyotaka na hana ubavu wa kuwafanya lolote kwa sababu ya idhaifu mkubwa alionao.
Kwa sababu hatumii mikwara ya kishenzi mumezowea kuendeshwa kishenzi Kama Magufuli ndiyo mnajaribu kubweka bweka
 
1. Udini.

2. Hatari ya uvunjifu wa haki za binadamu. Wakati, Mauritius ni moja ya nchi rafiki katika kusimamia na kulinda haki za binadamu.

3. Miundombinu mibovu pamoja na magari chakavu. Wakati, Mauritius walitoa duty fees kwa magari ya umeme kuingizwa nchini mwao mpaka mwishoni mwa June 2024.

4. Dress code. Zanzibar wanapangia watalii mavazi ya kuvaa na huwa wanatozwa mpaka $700 kama faini wakivaa mavazi yanayoonekana siyo ya heshima kwa Zanzibar.

Zipo sababu nyingi tu, Zanzibar ina potential ya kuwa sehemu kubwa kwa utalii zaidi ya ilipo ila sheria zao siyo rafiki kwa jamii zote.

Vipi kuhusu Tanganyika, wao wana matatizo gani mpaka wakawa wanaburuzwa na kijinchi kidogo kama Mauritius kwenye Utalii?
 
Mauritius wakati wowote, mahali popote utakula na kunywa.

Ila Zanzibar wakati wa mfungo utapigwa kama mwizi ukionekana unakula tena kwa chakula au kinywaji ulichonunua kwa pesa yako.

mbona Dubai pia wakati wa mfungo hakuna kula kiholela na utalii Upo katika kiwango cha juu kabisa?
 
Do0afLBX0AIXdZ0.jpg

RIP Jemadari.
 
Zanzibar ni kisiwa kilichojaa wavivu na wanafiki wanaojificha kwenye kivuli cha dini, kuweza kutoboa kupo kwa wachache sana. Hata huo utalii unaotuletea pesa nyingi, wengi wa wazenji wanaona ni ukafir tu, hawaupendi wala kutaka kuuona.
 
Back
Top Bottom