Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mauritius ni nchi ambayo tajiri sana africa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ya gdp per capita dini kubwa kwa Mauritius ni Hinduism mara nyingi dini hii ina sUpport amani pia elimu dini ya pili iwa ukubwa ni ukatolik au uromani ambbbao wapo 30% kama sikosei unajua elimu kwa romani ni muhimuNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Kumbe Mauritius kuna wala kitimoto?Mauritius ni nchi ambayo tajiri sana africa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ya gdp per capita dini kubwa kwa Mauritius ni Hinduism mara nyingi dini hii ina sUpport amani pia elimu dini ya pili iwa ukubwa ni ukatolik au uromani ambbbao wapo 30% kama sikosei unajua elimu kwa romani ni muhimu
So kwanini Mauritius ni nchi tajiri africa kuliko nchi yoyote sbababu ni watu na muundo wake watu husika
Turudi znz hata wakijitoa kwenye muungano je wana muundo wa watu wa makini je elimu dunia kwa ni kipaumbele.....je znz 99% ni waislam je dini hiyo huwa ina support elimu dunia au elimu akhera.....
Wanakutawala umebaki kulialia tu
Nani mwenye akili Zanzibar? Kama mngekuwa na akili mngeshindwa kupata hata umeme tu?Tanganyika inategemea akili kutoka Zanzibar
Hizo mlizo nazo Tanganyika Za kuongozwa na akili ya mwanamke mzanzibari kwani nyinyi mnazo ?
mbona Dubai pia wakati wa mfungo hakuna kula kiholela na utalii Upo katika kiwango cha juu kabisa?
wacheni uongo na kupakazia udini ati kwa sababu ya uislamu. Utamaduni wa watu uko sehemu nyingi duniani na hauathiri utaliil. Zanzibar issue ni kuwa hawajajipanga kupokea watalii wengine kihivyo, hawana huduma za kutosha kupokea watu wengi kwa wakati mmoja, na mpaka hapo watakapojipanga basi ndiyo utalii utafanikiwa.Hawa wa Visiwani Uisilamu wao ni ule wa Mkwamo wakati wenzao wa Dubai wana Progressive Islam.
Watu mnajisumbua tu kubishana hapa...
Tanganyika inaingia gharama kiasi kuvishikilia hivyo vijisiwa vya Pemba na Unguja bila manufaa dhahiri.
Hata hivyo Zanzibar itaendelea kuwa sehemu ya Jamhuri ya Tanzania, na Wakati muafaka ukifika Tanganyika itavimeza kabisa vijisiwa hivyo ambavyo ni milki yake tangu zamani.
Kisiwa cha Pemba ni sehemu ya mkoa wa Tanga, na kisiwa cha Unguja ni wilaya ya mkoa mpya utakaoundwa kutokana na sehemu za mikoa ya Tanga na Pwani.
Tafuteni hela mnunue magari wakuu. Acheni kujipa stress na hichi kiini macho kinachoitwa Muungano.
Ukiona mkazi wa kisiwani anabishana na ww hapa ujue huyo kilaza kuna vitu haelewi.
Achaneni na hao wazenji uchwara. Wazenji wenye akili wanaelewa kinachoendelea! [emoji2958]
Kupanga ni kuchagua. Bongo tumechagua kuwa wezi wa mali za umma. Yote sawaNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Nimeambiwa pato la taifa huwa tunawapa 4% zanzibar , sasa mama kaongeza 9%Sio kwamba Zanzibar ndio inaikalia Magogoni kimabavu?!
Je unajua kwamba zanzibar imekuwa ranked as best island destination duniani 2024???Mauritius ni nchi ambayo tajiri sana africa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ya gdp per capita dini kubwa kwa Mauritius ni Hinduism mara nyingi dini hii ina sUpport amani pia elimu dini ya pili iwa ukubwa ni ukatolik au uromani ambbbao wapo 30% kama sikosei unajua elimu kwa romani ni muhimu
So kwanini Mauritius ni nchi tajiri africa kuliko nchi yoyote sbababu ni watu na muundo wake watu husika
Turudi znz hata wakijitoa kwenye muungano je wana muundo wa watu wa makini je elimu dunia kwa ni kipaumbele.....je znz 99% ni waislam je dini hiyo huwa ina support elimu dunia au elimu akhera.....
Nyie jifananisheni na Comoros, ndiyo design yenu. Mauritius ni something else.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.