Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Mauritius ni nchi ambayo tajiri sana africa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ya gdp per capita dini kubwa kwa Mauritius ni Hinduism mara nyingi dini hii ina sUpport amani pia elimu dini ya pili iwa ukubwa ni ukatolik au uromani ambbbao wapo 30% kama sikosei unajua elimu kwa romani ni muhimu

So kwanini Mauritius ni nchi tajiri africa kuliko nchi yoyote sbababu ni watu na muundo wake watu husika

Turudi znz hata wakijitoa kwenye muungano je wana muundo wa watu wa makini je elimu dunia kwa ni kipaumbele.....je znz 99% ni waislam je dini hiyo huwa ina support elimu dunia au elimu akhera.....
 
Kumbe Mauritius kuna wala kitimoto?
 
Kwa nini wasiende mafia au sio kisiwa kile, kuna watu ni wanafiki sana. Leo hii mnasema wazanzibar wana udini Sana, lakini mfano wakaruhusu watu wafanye wanavyotaka mtakuja tena mtasema yaani wale wazanzibar ni mafedhuli wanauza utu wao Kwa ajili ya pesa. Na siku zote shetani anamfuata yule aliyekuwa kwenye njia ya Sawa.
Huwezi kumuona shetani kamfuata mtu asiyevuta bangi, atamfuata yule asiyevuta ili nae apotoke.
 
Inawezekana kama Wazanzibar wataachana na mawazo ya kuvunja muungano ili kujiuza kwa Waarabu!
 
Tanganyika inategemea akili kutoka Zanzibar
Nani mwenye akili Zanzibar? Kama mngekuwa na akili mngeshindwa kupata hata umeme tu?

Zanzibar .na Tanganyika, sote hatuna kubwa la kujivunia, japo Tanganyika ina rasilimali nyingi na potential kubwa ya maendeleo.
 
Hizo mlizo nazo Tanganyika Za kuongozwa na akili ya mwanamke mzanzibari kwani nyinyi mnazo ?

Huyo si ndiye mliyemleta ninyi? Tambua kuwa nafasi ya Zanzibar kwenye muungano baada ya mfumo wa vyama vingi, ni umakamu wa Rais. Na huyo makamu wa Rais anapatikana kwa majadiliano ndani ya hicho chama chenu cha CCM. Kwa hiyo huyu ambaye aliupata Urais kutokana na kifo, ni mapendekezo ya chama chenu huko Zanzibar. Leo mnamkana?

Mkataeni kuwa siyo mzanzibari. Watanganyika watampa uraia alimradi awaondoe waarabu wake aliowapa bandari na hifadhi zetu.
 
mbona Dubai pia wakati wa mfungo hakuna kula kiholela na utalii Upo katika kiwango cha juu kabisa?

Acha uwongo. Nimekaa siku kadhaa Dubai wakati wa mfungo, sikushuhudia huo ujinga.

Hakuna airport yenye duka kubwa la vileo na wateja wengi, kama Dubai, jambo ambalo sikulitarajia.
 
Vinaonekana wapo busy sana, ni utalii tu au kuna biashara nyingine? Tangu nione huu uzi nikifuatilia naona ndege hazikauki kuingia na kutoka hata hapa JNIA sio hivyo

Screenshot_20240515_063346_Flightradar24.jpg
 
Hawa wa Visiwani Uisilamu wao ni ule wa Mkwamo wakati wenzao wa Dubai wana Progressive Islam.
wacheni uongo na kupakazia udini ati kwa sababu ya uislamu. Utamaduni wa watu uko sehemu nyingi duniani na hauathiri utaliil. Zanzibar issue ni kuwa hawajajipanga kupokea watalii wengine kihivyo, hawana huduma za kutosha kupokea watu wengi kwa wakati mmoja, na mpaka hapo watakapojipanga basi ndiyo utalii utafanikiwa.

Utalii siyo lazima uwe wa kuvaa vichupi barabarani.
 
Watu mnajisumbua tu kubishana hapa...

Tanganyika inaingia gharama kiasi kuvishikilia hivyo vijisiwa vya Pemba na Unguja bila manufaa dhahiri.

Hata hivyo Zanzibar itaendelea kuwa sehemu ya Jamhuri ya Tanzania, na Wakati muafaka ukifika Tanganyika itavimeza kabisa vijisiwa hivyo ambavyo ni milki yake tangu zamani.

Kisiwa cha Pemba ni sehemu ya mkoa wa Tanga, na kisiwa cha Unguja ni wilaya ya mkoa mpya utakaoundwa kutokana na sehemu za mikoa ya Tanga na Pwani.

Tafuteni hela mnunue magari wakuu. Acheni kujipa stress na hichi kiini macho kinachoitwa Muungano.

Ukiona mkazi wa kisiwani anabishana na ww hapa ujue huyo kilaza kuna vitu haelewi.

Achaneni na hao wazenji uchwara. Wazenji wenye akili wanaelewa kinachoendelea! [emoji2958]

Toka mwanzo Marekani, kupitia mjumbe Henry Kissinger hakupendekeza suala la muungano. Alimwambia Mwalimu aichukue Zanzibar. Na hiyo ni baada ya mzee Jomo Kenyata kukataa kuwa hakuwa tayari kuichukua Zanzibar kwa sababu ina watu goigoi. Mwalimu akaenda na hii mbinu ya muungano ambao haueleweki. Lakini hiyo ilikuwa hatua ya mwanzo kuelekea kuufanya mkoa.

Kwa sasa, hofu ya nchi za magharibi ni kuwa tukiiacha Zanzibar iwe nchi huru kabisa, na watu wenyewe ndiyo hawa, magaidi wanaweza kuifanya Zanzibar kuwa makao yao salama. Kumbukeni vile vimelea vya ugaidi Zanzibar, wakati wa utawala wa Kikwete viliweza kudhibitiwa kwa sababu kulikuwa na access ya vyombo vya usalama kuingia Zanzibar bila kizuizi chochote. Isingewezekana kama Zanzibar ingekuwa ni nchi huru.

Dunia inakubali kuubeba mzigo wa Zanzibar kwaajili ya usalama wa ukanda wa mashariki mwa Afrika.
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Kupanga ni kuchagua. Bongo tumechagua kuwa wezi wa mali za umma. Yote sawa
 
Mauritius ni nchi ambayo tajiri sana africa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ya gdp per capita dini kubwa kwa Mauritius ni Hinduism mara nyingi dini hii ina sUpport amani pia elimu dini ya pili iwa ukubwa ni ukatolik au uromani ambbbao wapo 30% kama sikosei unajua elimu kwa romani ni muhimu

So kwanini Mauritius ni nchi tajiri africa kuliko nchi yoyote sbababu ni watu na muundo wake watu husika

Turudi znz hata wakijitoa kwenye muungano je wana muundo wa watu wa makini je elimu dunia kwa ni kipaumbele.....je znz 99% ni waislam je dini hiyo huwa ina support elimu dunia au elimu akhera.....
Je unajua kwamba zanzibar imekuwa ranked as best island destination duniani 2024???
Na unajua kwamba data za mleta mada kwamba mauritius inapokea watalii 3m kwa mwaka ni uongo??
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Nyie jifananisheni na Comoros, ndiyo design yenu. Mauritius ni something else.
 
Back
Top Bottom