Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Hii ni fikra potofu,mbona Iran wana msimamo na maendeleo makubwa
Kwanza muulize yeye hiyo elimu yake hapa tanzania na rasilimali zote zilizomzunguka imemsaidia nini zaidi ya kuhangaika kuajiriwa tu.
Na hiyo zanzibar anayesema tatizo dini anajua kwamba imekuwa ranked number 1 island destination in the world imeipiku hadi ibiza
Akipunguza chuki za kidini ataweza kutumia akili
 

Kinachoitese Zanzibar ni CCM.

Hawana Uwezo wa kupokea watalii wengi kwa pamoja
Sera mbovu za uwekezaji
Miundombinu mibovu
Lack of promotion
Kodi kubwa zisizo rafiki
 
Nani alikuambia chama changu ni CCM?
 
Nani mwenye akili Zanzibar? Kama mngekuwa na akili mngeshindwa kupata hata umeme tu?

Zanzibar .na Tanganyika, sote hatuna kubwa la kujivunia, japo Tanganyika ina rasilimali nyingi na potential kubwa ya maendeleo.

Mna akili kweli , mnakuja Zanzibar kwa maelfu kutafuta ajira , wakati jinchi lenu limejaa rasilimali za kutosha ??

zimekaliwa na nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…