Mauwaji ya Oktoba 29: wagombea wachunguzwe historia ya ubinadamu wao.

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Wajumbe.

Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake.

Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia.

Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake.

Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye mafarano mfano wazazi kupeana talaka, au wazazi kupigana - yale maugonvi yanayoitwa kwa kizungu domestic violence; mwanadamu wa aina hii huugulia donda la kisasi lisilopona hata katika ukubwa wake na akili yake humtuma kuwa siku akipata nafasi atalipiza.

Au chukulia mwanamke ambae anabeba mimba na kuamua kwa ukatili wake tu kuitoa au mwanamke anaezaa mtoto na kumviringisha kwenye kanga na kumtupa na kuokotwa na wasamariawema. Aina hii ya wanawake hawezi kuwa kiongozi mwenye utu au unyenyekevu kwa sababu hana huruma.

Au fikiria mtoto wa jinsia yoyote anaepitia mitihani ya kubakwa au kulawitiwa wakati wa makuzi yake. Mtu wa aina hii huwa hawakai sawa kisaikolojia na hufuga roho ya kukosa ubinadamu na visasi.

Mifano ni mingi na kwa leo niishie hapo.

Hoja yangu ni kuwa katika kuteua wagombea wa ngazi zote, ni muhimu sana kuchunguza historia zao ili kuepuka kujikuta mnaongozwa na mtu anaeweza kutoa amri ya watu kuuliwa kwa bunduki za risasi za moto.
 
Kweli kabisa mfano tumeona Rais wa nchi fulani anatoa amri maelfu ya wananchi wake wasio na hatia wanauwawa kwa kupigwa risasi halafu haonyeshim masikitiko sansa sana ana wakejeli wafiwa kuwa kwa nini hawakuwafungia watoto wao ndani, mtu mwenye akili timammu hawezi kufanya hivyo asilani.
 
Back
Top Bottom