Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Atashindwa kwa jina la Yesu,mbona hakuniumaaMaana yake kuna adui amekuteka kotekote na anafanya atakavyo na kuharibu kila jema lako
Ulitaka ufe?Atashindwa kwa jina la Yesu,mbona hakuniumaa
Mweee labda hili lishetani la humuUlitaka ufe?
Huo ni ujumbe kwa njia ya picha/ndoto
Kama hivi?Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma
Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc Mshana Jr
Eeeeeh lakin alikuwa amenyooka kifuani kwangu mkia sijui ulikuwa huko miguuni aliyooka kifuan akatoa ulimi kunilamba lamba hakunijizungusha kwa nyuma kama huyo dada alilala wima tu kifuani kwanguKama hivi? View attachment 753099
Ulivyosimulia kama nyoka alitaka kukupa maromance hivi[emoji23] [emoji23]Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma
Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc Mshana Jr
Yaan acha naogopa mwenzio hakuna kitu naogopa kama nyokaUlivyosimulia kama nyoka alitaka kukupa maromance hivi[emoji23] [emoji23]
daaaaahh Mshana Jr mbona hata bila picha tungeelewa mjombaaa[emoji849]Kama hivi? View attachment 753099
kwan ni circuit breaker inakata au witch ya taa?Geto lako litakua na shoti tuu, imani yako ndio utumwa wako
Bado unahilo tatizo tuukwan ni circuit breaker inakata au witch ya taa?
wadada wazur hawanaga uchawi bhanashot tu hiyo mkuu, hahaaah niliwah kukutana na mchezo kamili, mwaka 2000 kuna jirani aliniachia nyumba yake niwe namchungia wakati yeye ameenda kwao likizo, nilikuwa bado niko sec, sasa mida ya night taa haziwaki hata uwashe kwa nyundo,,unawasha mshumaa, ikifika mida ya kupati sasa, mshumaa unainuka unaenda bafuni, unatoka, unaingia stoo unatoka unaingia chumba cha pili unatoka hadi nje unarudi tena ndani, ukisimama tuu, unazimwa, ukirudi kulala unawashwa tena, ikawa kazi ndio hiyo, sikuwa naogopa baada ya kujua kwamba siko pekeyangu mle ndani, mpaka mwenyewe aliorudi, alikuwa ni mdada mzuri sana, mpaka hivi nahisi hata uwezo wa kuzaa unakaribia kikomo, sijawahi kumuona mapenzini...namhusisha na vile vituko, ipo namna tu
Huyo ni jini mahaba katika umbo la nyokaEeeeeh lakin alikuwa amenyooka kifuani kwangu mkia sijui ulikuwa huko miguuni aliyooka kifuan akatoa ulimi kunilamba lamba hakunijizungusha kwa nyuma kama huyo dada alilala wima tu kifuani kwangu
Mapigo ya moyo sasa,halaf wa motoo ila mnene kama huyo pichani
wadada wazur hawanaga uchawi bhana
hapo siyo shot,, ilikuwa mkono wa mtu.switch ya taa
Jamani kwanini asije kwa umbo la mwanaume mzuri tu mi sipendi nyoka jamanii,nifanyeje nisiote tena hivyooHuyo ni jini mahaba katika umbo la nyoka
Ndoto huja kinyumeJamani kwanini asije kwa umbo la mwanaume mzuri tu mi sipendi nyoka jamanii,nifanyeje nisiote tena hivyoo