Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

Mauzauza yamenikuta chumbani kwangu

Mi leo nimeota nipo sehemu na watu halaf nyoka wanapita hao wakubwaa,wanapita kwa kasi kama treni za umeme,baadae nikaenda kulala akaja nyoka mkubwa akanipandilia kuanzia miguuni taratibu huku anajizungusha mwilini mwangu nikaanza kumsikia anakuja kifuani ,akafika kifuani mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku najiuliza kupiga kelel siwezi nifanye,akatoa ulimi akawa ananilamba usoni yaan kama ananinusa nusa jamani ,nikasema leo ninaloo,bahati nzuri nikashtuka yaan nilifurahi maana ilikuwa kama kweli,nikamulika na tochi kuangalia pembeni kote nikakemea nikalala ,kwenye ndoto niliogopa nyie sijui alitaka kuniuma

Shemeji yangu njoo niambie hii ndoto ya maana yake
Cc Mshana Jr
Kama hivi?
tmg-article_default_mobile;jpeg_quality=20.jpg
 
Ulivyosimulia kama nyoka alitaka kukupa maromance hivi[emoji23] [emoji23]
 
shot tu hiyo mkuu, hahaaah niliwah kukutana na mchezo kamili, mwaka 2000 kuna jirani aliniachia nyumba yake niwe namchungia wakati yeye ameenda kwao likizo, nilikuwa bado niko sec, sasa mida ya night taa haziwaki hata uwashe kwa nyundo,,unawasha mshumaa, ikifika mida ya kupati sasa, mshumaa unainuka unaenda bafuni, unatoka, unaingia stoo unatoka unaingia chumba cha pili unatoka hadi nje unarudi tena ndani, ukisimama tuu, unazimwa, ukirudi kulala unawashwa tena, ikawa kazi ndio hiyo, sikuwa naogopa baada ya kujua kwamba siko pekeyangu mle ndani, mpaka mwenyewe aliorudi, alikuwa ni mdada mzuri sana, mpaka hivi nahisi hata uwezo wa kuzaa unakaribia kikomo, sijawahi kumuona mapenzini...namhusisha na vile vituko, ipo namna tu
 
wadada wazur hawanaga uchawi bhana
 
Eeeeeh lakin alikuwa amenyooka kifuani kwangu mkia sijui ulikuwa huko miguuni aliyooka kifuan akatoa ulimi kunilamba lamba hakunijizungusha kwa nyuma kama huyo dada alilala wima tu kifuani kwangu
Mapigo ya moyo sasa,halaf wa motoo ila mnene kama huyo pichani
Huyo ni jini mahaba katika umbo la nyoka
 
Jiangalie vizuri usishangae huna rinda hapo ulipo [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom