wewe chizi unajua jana tuu mauzo yalikuwa juu? tafuta taarifa ya jana na wiki iliyopitaHahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
Kamwe hawezi kuongeza lolote.... muulize hali ya soko jana na wiki iliyopita ilikuwaje?Mkuu jaza nyama kiduchu kwenye bandiko lako.
Suala hili ni kubwa na mimi naliangalia kama kiashiria kimoja cha uchumi kudorora, wawekezaji kukata tamaa na kuacha kuwekeza katika biashara, kufunga biashara na wale wa kutoka nje ya nchi kuondoka kwenda kuwekeza katika nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kibiashara kuliko ya Tanzania tunayo yajenga sasa. Viongozi waliangalie hili vizuri maana hata ukiwa mkali vipi, sekta binafsi ikikukataa huendi mbali utaanguka tuMwoshoni soko litafungwa kama matokeo ya maamuzi ya kukurupuka!
Nunua kabla hujaanza kujilaumu.. Ups and downs ni kawaida kwenye stock market na hata huko duniani iko hivyo pia..daahh!nlitaka nijitusue vodacom
Kilema cha akili, kama lilivyo jina lako, salam aleikhum!Maskini kibatari weee huna hata mia yakununua mchicha labda ununue hisa za udaku
Asante sana kiongoziMkeo anakwenda sokoni kununua mahitaji anapokuwa na hela au asipokuwa nazo? Soko la hisa ni soko kama lingine linalouza bidhaa; watu kama hawana fedha hawawezi kununua hisa na vivyo hivyo wanaotaka kuuza hisa zao hawawezi kuuza kwani hakuna wanunuzi!! Uchumi unapokua ndio watu wanapata ajira na kuwa na fedha za kwendea sokoni kwahiyo kama soko la hisa linadorola maana yake uchumi unasinzia!!! Hii ni ishara kwa serikali kuangalia sera zake za uchumi kama zinasaidia nchi au kuididimiza!
Well said!Suala hili ni kubwa na mimi naliangalia kama kiashiria kimoja cha uchumi kudorora, wawekezaji kukata tamaa na kuacha kuwekeza katika biashara, kufunga biashara na wale wa kutoka nje ya nchi kuondoka kwenda kuwekeza katika nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kibiashara kuliko ya Tanzania tunayo yajenga sasa. Viongozi waliangalie hili vizuri maana hata ukiwa mkali vipi, sekta binafsi ikikukataa huendi mbali utaanguka tu
Sawa mkuu...Maz
Mazungu ni maongo tu mae zao, imf ni vibaraka wa mabepari kandamizi. Mkishaona mzungu tu mnashoboka mnaona kama malaika....aisee bora upigwe loba na teja la tandale kuliko majizi ya kizungu yanayotumia mwanya wa mashirika makubwa vibaraka na wase...wachache kama zito zuberi kabwe mnafiki mkubwa na kuwadi wa wajerumani
usihangaike na hawa watu wasio fatilia ni juzi tuu mauzo na thamani ya hisa zilikuwa juu lakini hawakuleta hapa.Nunua kabla hujaanza kujilaumu.. Ups and downs ni kawaida kwenye stock market na hata huko duniani iko hivyo pia..
Mbona kuna wakati linapanda kuanzia billion 3 au 2 mpaka huko 30.. Achana na habari za siasa, kama unataka kununua stock tafuta broker akuelekeze sio hizi kelele za mabavicha na mauvccm..
Mfano mdogo; angalia hizi trend za mwaka jana... Mauzo jinsi yanavyofluctuate.. Isitoshe kuna factors nyingi zinazosababisha mauzo kupanda na kushuka. Kwa mwezi huu wiki iliyopita mauza yalikuwa juu sababu Vodacom waliingia rasmi na wengi walinunua shares na wiki hii ya mwisho mauzo yameshuka sababu Investors wengi wanasubiri quarterly reports za kampuni zilizoko DSE ili waone wapi ni viable kutupa pesa zao.. Perhaps hata wenyewe DSE walishatabiri hizi fluctuation na karata yao ikabaki wengi wanasubiri Telecommunication companies ziingie ndiko kuna safety ya kupiga pesa huko sababu kati ya sekta zinazokuwa kwa kasi nchini mawasiliano ni moja wapo...
View attachment 488070
Asante sana kiongozi
Basi twafwaaasoko la hisa linasaidia kukuza mitaji ya biashara na makampuni hivyo kuchochea biashara,uwekezaji,mzunguko wa pesa, ajira, kodi kma pato la serikali na faida kibao sasa kw kukujibu tu kma ulivyouliza ieleweke kuwa SOKO LA HISA LIKISHUKA NDIO ANGUKO KUU
Kama hujawahi kudeal na stock market utabaki kupiga kelele na kufuata mkumbo wa wanasiasa uchwara..Bora huyo aliyejaribu kuelezea anachokifahamu kukiko ww ambaye hujaeleza chochote
Kama namba ni sahihi, bado kidogo tutahama kutoka billion kwenda million. Kweli, ni anguko kuu.Great Depression ya mwaka 1929-39 ilitokana na kuanguka kwa soko la hisa la New york. Sasa hili la kwetu nalo linaelekea uko.
Yaap nakumbuka mauzo yalipanda kwa asilimia 97 kama nakumbuka vizuri..usihangaike na hawa watu wasio fatilia ni juzi tuu mauzo na thamani ya hisa zilikuwa juu lakini hawakuleta hapa.
da una mahaba ya dhatiHata libaki 0
Bado nitampigia kura Magufuli