Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Naomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
Ni anguko,soko la hisa linaakisi uwekezaji katika nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
soko la hisa linasaidia kukuza mitaji ya biashara na makampuni hivyo kuchochea biashara,uwekezaji,mzunguko wa pesa, ajira, kodi kma pato la serikali na faida kibao sasa kw kukujibu tu kma ulivyouliza ieleweke kuwa SOKO LA HISA LIKISHUKA NDIO ANGUKO KUUNaomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
Hamna shida ila wajukuu zako wakiteseka basi utakuwa umeshiriki kwenye kuwaletea shida maisha yao yote na watakulaani kwa hiloHata libaki 0
Bado nitampigia kura Magufuli
😀😀😀😀 khaaaa mkuu hii post ni ya kichocheziHapo bado impact ya kuzuia gafla makontena ya mchanga wa dhahabu.....nadhani DSE baada ya pasaka ndio watakua na mil. 4 tu
HahahhahahahhaHana Ubavu wa kujaza Nyama!
Labda ingekuwa habari ya Maandamano
Kweli tena maana ujue acacia kwa mujibu wa mchumi wao tangia wazuiwe kupeleka makontena nje ya nchi kila siku wanakula loss ya zaidi ya mil.500😀😀😀😀 khaaaa mkuu hii post ni ya kichochezi
Naomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
Naomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
Nadhani siyo wakati sahihi wa kununua hisa
Hiyo inaitwa hakuna pa kushikaNilitaka kununua hisa za Vodacom, nikasikia mtaani kuwa kuna agizo kutoka mbinguni kuwa TTCL ndio chaguo la lazima.
Nikasema si mbaya, acha ninunue hisa za Twiga Cement...loh, huko ndio balaa. Nikasikia mitaani kuwa mshindani wake anaandaliwa mgodi na bomba la gesi ili auze saruji kwa 7000, kwa maana hy saruji yetu ya Twiga ipo mashaka ni
Si ndio nikakumbuka chama kubwa CRDB, ilibaki kidogo ninunie hisa ndio nikaona kwenye taarifa ya habari kuwa ya kwetu ni NMB na maelekezo yalishatoka kuwa njuruku zihifadhiwe huko na si kwingineko.
Soko la hisa limeanguka kwa kuwa sijanunua hisa.