Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Vijana kwa wazee, waliowahi kumchukia Hayati Magufuli, ni wapuuzi, wezi, mafisadi na wauza madawa, nani mwenye akili timamu ashadadie kijigazeti cha kijinga hicho?

Kila atakayekupendwa na watu dizaini yao, lazima awe kama wao, akubali nchi itafunwe, iwe jalala la madawa ya kulevya, wajinga wote walio kwenye msululu huo, awape uwaziri hata kama hamnazo!

Upuuzi huo uishie kwa wanaume wa Dar!
Daaah,wakupe maua yako,watu mnamanenooo!.
 
Huwezi kumchafua mtu aliejenga nchi yake kwa moyo wa dhati...angalia project alizoacha...
Sasa waulize hao wanaojiita waandishi wa habari na masponsor wao wameifanyia nini nchi?...
Ndio maana hao wanaojiita wahariri..Meena na wenzie ni takataka tu chini ya jua hili...
WENGINE ndo hao ,wanajifanya wanajua uongozi,mwisho wa siku wanaingiza nchi kwenye mgao
 
Paul Makonda is back
General Sabaya is back
Yes, they are back so what? Baadhi ya watanzania wamekuwa kama misukule wanashabikia maovu. Si kwamba kurudi kwao kuna faida kwa wananchi. Samia kwa sasa anajiendea kama mfa maji hajui pakushika, kila sehemu ni pa Moto. Hii strategy aliyokujanayo ya mara kuwapa watu vyeo hadi wengine unaibu waziri mkuu na huku akiwarudisha wateseji wa watu kundini inaweza kuipasua CCM zaidi kuliko kuwakomoa wapinzani. Mbaya zaidi wananchi wengi watamchukia, msimdanganye mitandaoni.
 
Nasikitika kwa jinsi CCM ilivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuwafanya misukule wafuasi wake.
Karne hii ni ya kushadadia kweli watu wanaotumia manguvu mengi bila akili hata kidogo!!??
Pole sana kwa kuwa mfano hai wa mafanikio ya CCM ya kutengeneza mazuzu wengi.
Chukuwa maua yako. Hapo ndipo tulipofikia Watanzania
 
Hiki kitabu na waandishi wake kitawala ubongo, hadi washindwe kupumua na wapalanganyike.
 
Huwezi kusoma kitabu cha kumchafua mtu halafu ukategemea uwe desicion maker au uko na taasisi private halafu utoboe.
Hata motivation speakers hawatumii mbinu hiyo. Mbinu ya chuki ni WAXHAWI tu ndio hutumia ndio maana HAWAFANIKIWI.
Duniani kote watu wanasema uwe na Positive Mind Attitude(PMA).
Bado nasema hivi aliyeandika HATOBOI. Witchcraft science hadi leo haisomeki. Yaani kama hakuona fursa kipindi cha JPM ni kipofu huyo. Hata hao wazungumza kiingereza aliolenga wamenunua copy ngapi? Wazungu wanasema Think positive yeye anasema the opposite ndio sawa. Rubbish
 

Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Hangaya atakinunua na kukisambaza bure vituo vya daladala.

Huyo na yule hawakuwahi kupatana. Speeches zake zinasema.


Wapinzani wake wamepania kuzitumia kwenye kampeni
 
Mkuu kinapatikana wapi na Mimi nikakinunue?
Nadhani watu wasiogope kukinunua, wakinunue wakisome ili wajue ukweli ulio ndani yake.
Tusisahau Hayati Magufuri pamoja na Mazuri mengi aliyofanya, alikuwa binadamu, alikosea!
Hakuna Rais asiyekosea, Nyerere alifanya mazuri lakini alikosea, Mwinyi alifanya mazuri lakini alikosea, hali kadharika Mkapa na Kikwete!
Kila Mtanzania anayekisoma atashangaa kama hicho kitabu kimeandika mabaya ya Hayati JPM bila kuangalia Mazuri mengi aliyofanya!
 
Mkuu kinapatikana wapi na Mimi nikakinunue?
Nadhani watu wasiogope kukinunua, wakinunue wakisome ili wajue ukweli ulio ndani yake.
Tusisahau Hayati Magufuri pamoja na Mazuri mengi aliyofanya, alikuwa binadamu, alikosea!
Hakuna Rais asiyekosea, Nyerere alifanya mazuri lakini alikosea, Mwinyi alifanya mazuri lakini alikosea, hali kadharika Mkapa na Kikwete!
Kila Mtanzania anayekisoma atashangaa kama hicho kitabu kimeandika mabaya ya Hayati JPM bila kuangalia Mazuri mengi aliyofanya!
Toilet pepar
 
Back
Top Bottom